HALAFU ABIRIA WAPO KIMYAA NDANI YA GARI AMBAYO UKIANGALIA HATA KWA MACHO NI KUTU KUTU TU HALINA UBORA NA LINAKIMBIA HASWA.
Karibu wote sio wote. Hata wakati wa kuanza safari mnaweza mwambia dereva mnachotaka nyinyi abiria. Ukweli ni kwamba abiria wanapenda speed ili wawahi. Hata katika kuhadithia utasikia ile gari ilikuwa inakimbia balaa.Kumbuka safari za usiku, unakuta abiria karibu wote wameu-chapa usingizi 💤
Kwahiyo ukiomba ndio watu wataacha kufa..yani hujui kuwa hizo dini unazoziamini ndio zimemwaga damu sana kuliko matukio mengine ya duniani.Jamani jamani jamani
Damu ya Watanzania inamwagika kama tupo vitani vile.
Wenye Imani tusiache kuiombea nchi
Moyo wangu umeumia sana
Tofautisha dini na Imani.Kwahiyo ukiomba ndio watu wataacha kufa..yani hujui kuwa hizo dini unazoziamini ndio zimemwaga damu sana kuliko matukio mengine ya duniani.
Wafia dini punguzeni ujuaji.
#MaendeleoHayanaChama
Pole sana..ila mdogo wako naye alikua kasi sana pia alikua na chupa za k vant manake alikua tungi..walikua wanawahi wapi??So sad,hii ajari imesababisha kifo cha mdogo wangu kwenye hiyo IST,laiti ningemkamata dereva wa hilo trekta,ningemtatua malinda bila kalainishi.
K VANT mkuu imekutwa kwny gari hyo ISTSamahani
Huyo ist hakua na taa za kumsaidia kuona trekta mbele yake?maana njuavyo hata kundi LA watu wakiwa wanavuka unawaona unapunguza mwendo!
Daah..umenikumbusha enzi hizo shy..kuna machalii walikua wala bata sana..walikua na mademu zao chuo cha ushirika tawi la kizumbi pale.Hiyo barabara hadi unafika Nzega ni kuwa makini sana kama unadrive usiku kuna matela ya Punda mengi haswa msimu wa mavuno.
Nakumbuka gari moja dogo IT lililokuwa likiendeshwa na dereva mruanda ililparamia Tela la Punda na kuua Dreva wa Punda na Mruanda na Punda wawili.
Karibu na Tinde Junction.
Wapi ilisemwa lazima ufe ukiwa mzee..na mbona kila siku kuna watoto wanakufa wadogo wengine hata mwezi hawajamaliza..acheni nature ibalance dunia..watu wote wangefika uzeeni hii duni population yake ingekuwaje.Tofautisha dini na Imani.
Watu tunakufa na tutakufa yes. Kuna umri ukifika ni lazima uiage dunia. Sasa haya mauaji yatokanayo na ajali siyo sahhi. Hakuna kazi ya Mungu japo.
Kwenye daladala kuna mikanda ya abiria kufunga au ndo unajitoa ufahamau???Je hao watu walikuwa wamefunga mikanda? nazungumzia hao wa kwenye daladala maana 16 ni wengi ukilinganisha na hali ya gari inavyoonesha.
Wangekuwa wachache tu watatu au wawili [wa ile eneo ilobondeka tu]
Watanzania tuamke, hakuna gari iliyowahi kutoka kiwandani bila mikanda ya usalama, yaani ni kama tu ambavyo hakuna gari inaenda barabarani bila matairi. Sasa tutabaki kuusema tu mwendokasi lakini haya ni matokeo ya kutumia gari nusunusu. Gari ina taa huziwashi, ina breki huziservice, ina mkanda na hufungi unachotumia ni ile tu ina spidi mia mbili[kumalisa kisahani] hapo lazima matatizo kujiletea.
Tumia gari nzima au achana nayo hakuna cha katikati hapa. Askari nao wafanye kazi yao sio nusunusu, umegundua kosa zuia hadi lirekebishwe. Gari mbovu mtu apaki hadi aletewe breakdown akilipa gharama mara mbili/tatu akili itakaa sawa. Sio gari mbovu unachukua buku tano. Ndo nini sasa? ndo italitengeneza gari au?
Tanzania tuna simple life sana hii inasababisha mambo mengi sana ya ajabu ajabu hata kwenye vitu muhimu.Hizo yebo moja unakuta kaining'iniza kama inataka kudondoka boda wapuuzi sana
Pole nduguSo sad,hii ajari imesababisha kifo cha mdogo wangu kwenye hiyo IST,laiti ningemkamata dereva wa hilo trekta,ningemtatua malinda bila kalainishi.
Hilo ni ombi mkuu hamuaru Mungu wala hana huo ubavu!Unamwamuru Mungu chakufanya?
Basi wapumzike kwa amaniK VANT mkuu imekutwa kwny gari hyo IST