Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Watu wasiojulikana wamemchinja mlinzi aliyekuwa akilinda katika msikiti wa Shree Hindu Mandal Temple uliopo mjini Kahama kisha kuiba sadaka na kuharibu vitu vya thamani vilivyokuwa kwenye msikiti huo na kutokomea kusikojulikana.
Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Bakari Karasani (46) ambaye ni mlinzi wa miaka mingi kwenye msikiti huo alichinjwa usiku wa kuamkia March 31 kisha mwili wake kuwekwa nyuma ya msikiti huo.