KAHAMA: Wezi waiba sadaka msikitini, waacha msiba kwa familia ya mlinzi

Haya huu ndo muda wa kujua kama albadir inapiga kazi au magumashi
Sio waislam hao.
20220527_165301.jpg
 
View attachment 2572948

Watu wasiojulikana wamemchinja mlinzi aliyekuwa akilinda katika msikiti wa Shree Hindu Mandal Temple uliopo mjini Kahama kisha kuiba sadaka na kuharibu vitu vya thamani vilivyokuwa kwenye msikiti huo na kutokomea kusikojulikana.

Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Bakari Karasani (46) ambaye ni mlinzi wa miaka mingi kwenye msikiti huo alichinjwa usiku wa kuamkia March 31 kisha mwili wake kuwekwa nyuma ya msikiti huo.

Hilo ni hekalu la wahindu (mabaniani) ni wale ambao huchoma maiti zao na wala huo sio msikiti.
 
Haya huu ndo muda wa kujua kama albadir inapiga kazi au magumashi
Na hili ndio la Msingi haswaa,,,tunalolisubiri kwa hamuu mnoo!!!Wafiwa pia tunawapa pole,,Mungu awaongoze walimalize salama!!!
 
msikiti wa Shree Hindu Mandal Temple
Ndio kaandika nini hapa?

Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Bakari Karasani (46) ambaye ni mlinzi wa miaka mingi kwenye msikiti huo alichinjwa usiku wa kuamkia March 31 kisha mwili wake kuwekwa nyuma ya msikiti huo.
إنَّا لِلَّهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ
 
So sad ,sijui dunia inaenda wapi,mungu aliumba binadamu ili waishi kwa amani,upendo na mwisho wafike kwake lakini kwa sasa binadamu amekuwa kiumbe wa kuogopa kuliko mnyama yoyote mkali apa duniani,Ni kitu kibaya Sana .Mungu iikoe dunia inaenda kuangamia.Pole kwa wafiwa wote,Pumzika kwa amani.
 
View attachment 2572948

Watu wasiojulikana wamemchinja mlinzi aliyekuwa akilinda katika msikiti wa Shree Hindu Mandal Temple uliopo mjini Kahama kisha kuiba sadaka na kuharibu vitu vya thamani vilivyokuwa kwenye msikiti huo na kutokomea kusikojulikana.

Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Bakari Karasani (46) ambaye ni mlinzi wa miaka mingi kwenye msikiti huo alichinjwa usiku wa kuamkia March 31 kisha mwili wake kuwekwa nyuma ya msikiti huo.

Uliza sasa hiyo sadaka ilikuwa bei gani usikie
 
Yale matakataka yalikojolewa Mbagala yakasababisha maandamano hadi KKOO 2012

Walipigwa wakavua kanzu na kubeba biblia

59. Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Hivyo mnatuchukia kwa kuwa tumemuamini Mwenyezi Mungu na tuliyo teremshiwa na yaliyo teremshwa kabla, na kwa kuwa wengi katika nyinyi ni wapotofu?
(Qur'an 5:59)
 
Back
Top Bottom