KAHAMA: Wezi waiba sadaka msikitini, waacha msiba kwa familia ya mlinzi

KAHAMA: Wezi waiba sadaka msikitini, waacha msiba kwa familia ya mlinzi

Kwani we ulitaka kujua au ulitaka kunielewesha mimi? Hapo ndo itakua hatukuelewana samahani kama nimekujibu vibaya
Mm nilitaka kujua mkuu,sasa nikaona labda wewe ndio hukunielewa.Lakini ucjali sisi ndugu hakuna shida.Bila Samahani ndugu yangu
 
Shree hindu Mandal ni Wahindu au ni Singh,s au Sikh,s Mkuu?????Maana pakstan wamejaa hawa.

Acha kupotosha, Hindus na Sikhs ni watu na imani tofauti kabisa, Wahindu ndio mabaniani na Sikhs ndio Masingasinga na Hekalu la Masingasinga linaitwa Guadavara.

Wahindu mwanzilishi wao anaitwa Krishna na Masingasinga Mwanzilishi wao anaitwa Guru Baba Nanak.

Wahindu walikuwepo hata kabla ya Ukristo na Uisilamu haujaanza na Usingasinga umekuja baada ya Uisilamu.
 
Mkuu umeona alama za kuuliza hizo?????
Acha kupotosha, Hindus na Sikhs ni watu na imani tofauti kabisa, Wahindu ndio mabaniani na Sikhs ndio Masingasinga na Hekalu la Masingasinga linaitwa Guadavara.

Wahindu mwanzilishi wao anaitwa Krishna na Masingasinga Mwanzilishi wao anaitwa Guru Baba Nanak.

Wahindu walikuwepo hata kabla ya Ukristo na Uisilamu haujaanza na Usingasinga umekuja baada ya Uisilamu.
Ina maana nimeuliza ili nieleweshwe mkuu.Au hukusoma vizuri nilichouliza kwa wadau?????Kuhusu miaka ya hizo dini,nadhani Sigh na Sikh zina miaka mingi kuliko ukristo na uislamu.Ni zao la Buddhasim mkuu
 
Sorry mkuu nimepitiwa.
Ucjali ndugu yangu.Lakini Kuhusu Sikh,s na Sigh, na Hindu,s hizo dini zina miaka mingi kuliko uislamu na ukristo sababu wakati uislamu na ukristo unaingia bara Hindi tayari ulikuta miliki za kifalme za Wasikh,s na Wahindu na Wasigh,s zipo kwa maelfu ya karne ni zao la dini ya Budha iliyotokea katika miliki za Wanepal.Inabidi ujue Uislamu una miaka mingapi duniani na Ukristo una miaka mingapi duniani.
 
Yale matakataka yalikojolewa Mbagala yakasababisha maandamano hadi KKOO 2012

Walipigwa wakavua kanzu na kubeba biblia
Hivi ni kweli ukoukojolea msahafu unakua chiziau ni maneno tu tunatishiana😂😂😂
 
Hivi ni kweli ukoukojolea msahafu unakua chiziau ni maneno tu tunatishiana😂😂😂
Nilikuepo pale kizuiani mbagala polisi posti.Kesi ipo hivi ni madogo walikua wanabishana,kua ukikojolea msahafu (Quran) unageuka paka.Basi dogo janja mmoja akakojolea msahafu ila hakugeuka paka.Na madogo janja wengine wakaenda kumsemea kwa wazazi wao na wazazi wakahamasishana kufanya maandamano.
 
Back
Top Bottom