Ulitumia maneno,bila kutumia akili,badala kuleta wazo la kuwekwa camera za CCTV kwenye sehemu muhimu kama kwenye nyumba za ibada ili kuondoa uhalifu,waleta mambo ya kukojolea vitabu.Kuna matukio karibia matatu ya hivi karibuni kwenye nyumba za ibada:
1.Msichana aliyeuliwa hivi karibuni huko kibaha,akitoka kanisani(nyumba ya ibada)
2.Kuna nyumba ya ibada iliyovunjwa na kuharibiwa vitu vya ibada,abayo ni kanisa(nyumba ya ibada)
3.Na tukio hili la kuibiwa sadaka na kuchinjwa mlinzi,kwenye hekalu la baniani(nyumba ya ibada).
Hapa ni kutoa ushauri nyumba za ibada kuwe na camera za CCTV,zinazoweza hata kuonekana kwenye simu za viongozi wa nyumba hizo za ibada.Na nyumba zinginezo,kama maduka,maeneo ya watu wengi,kuwe pia na CCTV camera.