Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
wana roho za ajabu hawa ndugu zetuWasukuma wana hulka za kishetani kama wahutu.
ndo upo barabara ya idara ya maji?duh nimepita jana mchana hapo, ili baki kidgo niingie ili nijue namna ya kujiunga na dini yao
daaah
Tulia We kibwengoWasukuma wana hulka za kishetani kama wahutu.
Mbona jengo lenyewe lishajipambanua kuwa ni TEMPLE cha ajabu muandishi anasema ni msikiti sijui waandishi wa Tz wamerogwa na nani....
Sasa unajuaje waliofanya hayo ni wasukuma?Mbona jengo lenyewe lishajipambanua kuwa ni TEMPLE cha ajabu muandishi anasema ni msikiti sijui waandishi wa Tz wamerogwa na nani....
Kahama ya sasa Ina makabila ya Kila ainaWasukuma wana hulka za kishetani kama wahutu.
Nimekutana na wengi wenu mnajifanya wakarimu kumbe roho kwatu. Mna roho mbaya sana.Tulia We kibwengo
Hyo ndo big test au huwa tunatishana tuuHaya huu ndo muda wa kujua kama albadir inapiga kazi au magumashi
Nafahamu.Kahama ya sasa Ina makabila ya Kila aina
Unamuonea mbona hajataja Wasukuma ametaja jengo.Sasa unajuaje waliofanya hayo ni wasukuma?
Ni vyema ukaacha chuki binafsi, itakumaliza taratibu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app