Kaibiwa na Dada poa sasa anaanza upya

Kaibiwa na Dada poa sasa anaanza upya

The 1st rule:
Kabla hujamleta dada poa kwako, Hakikisha chumba chako/nyumba yako (ina choo ndani. )

2nd rule
Ukimleta dada poa kwako funga milango yote kwa kitasa kasoro mlango wa bafun na choon, afu ficha funguo sehem ambayo hawez kuiona. Ukiona anaulizia funguo basi akili yako ikae attention.

3rd rule
Ukishamgonga, kabla hujamruhusu, hakikisha unakagua mali zako je zpo zote? Always mi huwa naangali je pc yangu ipo? Wallet ipo? Hela zpo vile vile? Je smu ipo?.

Nikijiridhisha vyote vipo basi namfungulia mlango anaenda

NB:Hatupendi kuleta madada poa kwny nyumba zetu/vyumba vyetu lakn some times tunafanya hvyo ili kuepuka garama za guest.

By the way kwa nn niende gest akati home kwangu naish peke angu?
 
Huyu mzee hakai Kigambon kwel? Kuna mzee mmoja namuhisi ana hizi characters.
 
Moja kwa moja kwenye mada, Ni ndugu yangu mmoja ameshakamata 40 years mpaka Sasa Ana kazi Ni afisa kilimo na mifugo.

Jamaa Ni hataki kusikia habari ya kuoa, Ni baada ya kupigwa tukio na alokua manzi yake miaka mitano ilopita.
Alishangaa tu anaambiwa manzi yake kaolewa na yeye Hana taarifa yoyote na juzi tu wametoka kuwasiliana pia hakukua na ugomvi wowote Kati yao.

Sasa katika miaka yote hio amekua Ni mtu wa kuchakata Dada poa Hana plan yoyote ya maisha hufanya hivyo salary ikitoka au akiwa na pesa kuchacha kwake Ni kawaida ikifika tar 1 Hana kitu anakula msotooo mwezi mzima mpaka atakapokutana na kirungu kingine

Madeni benki na nje😀 yaani kwa kifupi Mambo Ni tafrani toka amepigwa tukio na Yule binti.

Sasa last week aliopoa Dada poa kumbe alikua mwizi wamerudi wamelewa jamaa akapigwa na midawa ya kulevya sijui Ni cocaine au heroine au ugoro bila kujielewa amekuja kuamka saa 7 mchana ndani Hakuna chochote alichoachiwa Ni kitanda alicholalia na vikombe viwili vya chai.

Imagine mtu anaiba adi sufuria
🙂
Tuweni makini
Inahuzunisha sana kuibiwa aisee.

Lakini kwa namna ulivyoisimulia nimebaki nacheka
 
The 1st rule:
Kabla hujamleta dada poa kwako, Hakikisha chumba chako/nyumba yako (ina choo ndani. )

2nd rule
Ukimleta dada poa kwako funga milango yote kwa kitasa kasoro mlango wa bafun na choon, afu ficha funguo sehem ambayo hawez kuiona. Ukiona anaulizia funguo basi akili yako ikae attention.

3rd rule
Ukishamgonga, kabla hujamruhusu, hakikisha unakagua mali zako je zpo zote? Always mi huwa naangali je pc yangu ipo? Wallet ipo? Hela zpo vile vile? Je smu ipo?.

Nikijiridhisha vyote vipo basi namfungulia mlango anaenda

NB:Hatupendi kuleta madada poa kwny nyumba zetu/vyumba vyetu lakn some times tunafanya hvyo ili kuepuka garama za guest.

By the way kwa nn niende gest akati home kwangu naish peke angu?
Kila malaya unaemleta umkojoze hapo kitandani alfu siku ya siku mtoto unamtafutia hapo hapo, unadhani watoto wenye tabia shenzii shenzii wanapatikana vip.
 
Kwa hyo unatushaurije. Mana tunanunua da poa ili kupunguza garama. Nyie wa mtaan mnapiga mno vizinga yan vocha, gesi, kodi, nguo, chakula, vyote nikununulie mm aaaaaaaaaaah we^eeeee !!! Hapo hapo mi mwnyw sina kaz ya kueleweka. Nategemea nipige harakat ndo npate hela ya kula sku hyo.
 
Unaweza kua unakutana na wanawake wa aina moja kila siku.
 
Back
Top Bottom