Ikaria
Member
- Jul 17, 2019
- 93
- 238
Mahakama ya Juu imemhukumu Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli kifungo cha miezi 6 jela kwa kosa la kudharau mahakama.
IGP alipuuza agizo la mahakama takriban mara 7 la kumtaka kufika mbele ya Jaji Lawrence Mugambi kueleza waliko watu watatu wanaodaiwa kutekwa na maafisa wa polisi katika mji wa Kitengela.
Jaji Lawrence amemtaka IGP kujisalimisha kwa kamishna mkuu wa Magereza mara moja na iwapo atakosa kufanya hivyo basi Waziri wa Mambo ya ndani Kithure Kindiki atoe agizo la kukamatwa kwake na kupelekwa Gerezani.
Pia soma
- Mahakama kutoa uamuzi kuhusu kesi dhidi ya Kaimu IGP wa Kenya wiki ijayo