Kaimu IGP Masengeli ahukumiwa kifungo cha miezi 6 jela kwa kudharau Mahakama

Kaimu IGP Masengeli ahukumiwa kifungo cha miezi 6 jela kwa kudharau Mahakama

Hapa kwetu wahaini walio madarakani wanaitana jumba jeupe kupongezana kila baada ya kukamilika mauji na utekaji.
Mnashangilia nini? Tusubiri utekelezaji IGP akae nondo ndo tuseme. Mhimili gani mkubwa?
 
Hakuna hatua yoyote ni ujinga tu. Ameitwa amekataa, hukumu ndo atekeleze? Itabaki hivyo hadi anatoka ofisini
Kuna mengi yanafanyika Kenya huku kwetu hayawezi kutokea leo wala kesho hata uchaguzi wao una nafuu kuliko sisi.
 
Acha ujinga we nyumbu, hiyo hukumu insanely na faini, na pia unaposema IGP sema ni wa nchi gani!!
 
Kwa tz haiwezekani.wewe ona tu mzee kibao katekwa hadharani na askari waliokuja na gari za serikali na kwenda kumuua lakini Hadi Sasa hawajawajibishwa
 
Mahakama ya Juu imemhukumu Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli kifungo cha miezi 6 jela kwa kosa la kudharau mahakama.

IGP alipuuza agizo la mahakama takriban mara 7 la kumtaka kufika mbele ya Jaji Lawrence Mugambi kueleza waliko watu watatu wanaodaiwa kutekwa na maafisa wa polisi katika mji wa Kitengela.

Jaji Lawrence amemtaka IGP kujisalimisha kwa kamishna mkuu wa Magereza mara moja na iwapo atakosa kufanya hivyo basi Waziri wa Mambo ya ndani Kithure Kindiki atoe agizo la kukamatwa kwake na kupelekwa Gerezani.

Pia soma
- Mahakama kutoa uamuzi kuhusu kesi dhidi ya Kaimu IGP wa Kenya wiki ijayo
Haiwezekani hadi aondolewe hadhi ya U IJP
 
Kwa tz haiwezekani.wewe ona tu mzee kibao katekwa hadharani na askari waliokuja na gari za serikali na kwenda kumuua lakini Hadi Sasa hawajawajibishwa
Gari za serikali ni zipi?
 
Kwa tz haiwezekani.wewe ona tu mzee kibao katekwa hadharani na askari waliokuja na gari za serikali na kwenda kumuua lakini Hadi Sasa hawajawajibishwa
Hao Askari waliomteka huyo mzee Kibao inavyoonekana siyo Askari Polisi bali ni Askari Jeshi wa kutoka TISS. Hiyo ilikuwa ni Abduction Squad ya TIss, na inavyoomekana huyo mzee Kibao kabla ya kutekwa ilikuwa tayari alishafanyiwa Surveillance ya kutosha kabisa.
 
Kuna mengi yanafanyika Kenya huku kwetu hayawezi kutokea leo wala kesho hata uchaguzi wao una nafuu kuliko sisi.
Hauwasaidiiii chochote nakuambia. Wanaishia kusema tu. Hakuna nchi ina ufisadi kama Kenya EA hii
 
Back
Top Bottom