Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Nakala kwa "ZCO" kwa maandalizi ya kufungiwa kabatini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very nice.Mahakama ya Juu imemhukumu Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli kifungo cha miezi 6 jela kwa kosa la kudharau mahakama.
IGP alipuuza agizo la mahakama takriban mara 7 la kumtaka kufika mbele ya Jaji Lawrence Mugambi kueleza waliko watu watatu wanaodaiwa kutekwa na maafisa wa polisi katika mji wa Kitengela.
Jaji Lawrence amemtaka IGP kujisalimisha kwa kamishna mkuu wa Magereza mara moja na iwapo atakosa kufanya hivyo basi Waziri wa Mambo ya ndani Kithure Kindiki atoe agizo la kukamatwa kwake na kupelekwa Gerezani.
View attachment 3094855
Pia soma
- Mahakama kutoa uamuzi kuhusu kesi dhidi ya Kaimu IGP wa Kenya wiki ijayo
Jinga lao kwelistori ya kina shigongo hii
Katiba ya Kenya ni nzuri. No one is above the lawKaimu Inspekta Jenerali wa Polisi nchini Kenya, Gilbert Masengeli amehukumiwa kifungo cha miezi sita gerezani baada ya kudharau wito wa mahakama mara saba mfululizo.
Masengeli alitakiwa kuieleza Mahakama kuhusu madai ya kutekwa nyara ndugu wawili na mwanaharakati mmoja kwa kipindi cha wiki mbili, ambao walichukuliwa kinguvu na watu waliovalia suti, wanaodaiwa kuwa maofisa wa Polisi kutoka Nairobi, huku wakishindwa kutoa sababu za kuwakamata.

Yes,Katiba ya Kenya ni nzuri. No one is above the law
Nashangaa kwanini imejipost haraka hivyo nishaomba kwa viranja wairekebisheHiyo Heading ndo umeamua Uiandike Hivyo? 😏😏
🤣🤣🤣Yes,
rangi yake ni nzuri sana 🐒
Report ndo watarekebisha harakaModerator naomba urekebishe hiyo tittle ya huu uzi.