Mr. Bigman
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 2,560
- 1,300
Well saidTuko kwenye kick mode. Bila kudhalilisha hatuonekani tunatetea wanyonge. Sio mbaya wacha walioko madarakani wafanye watakavyo lakini mlango umeshafunguliwa kwamba ukiwa madarakani fanya upendavyo lakini ukitoka utakutano na ulichowafanyia wenzio, kama ni kinyume utaisoma namba. Mfano halisi muone Sumaye saa hii analimia meno. Lakini enzi zake alikuwa anawachukulia wapinzani ni kama mashetani.
Hii nchi kuna uonevu mkubwa snDah! Nilifikiri ni mimi tu nimeliona, kutokana na muhemuko wa hili Jambo nikaona ngoja nikae kimya, ni kweli hao jamaa wanatuhumiwa kwa kuhujumu uchumi lakini sikuona sababu yoyote ile ya kuwadharirisha, sasa walipiga magoti ili iweje??
Mr danny.kw hiyo kupigwa picha ni KUHUKUMIWA!!!???naamini hata wewe hukuwepo mahakamani lkn umejuaje km sio kupiga picha!!??WATANZANIA TUACHE U BUSH LAWYER.Mkuu siyo kwamba mwizi anapewa heshima na utukufu, la hasha, isipokuwa mwizi ana haki yake kisheria. Anakuwa ni mtuhumiwa tu hadi hapo ushahidi wa kumtia hatiani utakapokamilika. Na ushahidi wenyewe usiwe na shaka yeyote.( beyond any reasonable doubt)
Huyu bwana ana akili sn, sema kuna muda anapitiwa na yeye.Kumbe paskal una akili usipoziacha usukumani
Mmhhh hio chukI haisaidii bt pia sio polisi walio wapiga picha.Paskali unasema unaamini polisi wanajua kumpiga picha mtuhumiwa mikononi mwa polisi ni kinyume cha kanuni, kumpiga picha mtuhumiwa akiwa ndani ya chumba cha mahakama ni kinyume cha kanuni. Jee, unawaongelea hawahawa polisi wa Tanzania au wa nchi nyingine? The last time I checked, mtu akipata division zero au division bashite ndio hua anaenda kujiunga na jeshi la polisi na wengi wao hata kuandika maelezo tu vituoni ni shida, sasa je watajuaje sheria kama hizo? Paskali tafadhali kuwa serious kidogo!
Wanipata wapi mimi hao vilaza zaidi ya kunisimamisha kwenye gari na kuniandikia faini ya TZS 30,000? Tena siku hizi hata siongei nao nawaambia tu andika nikalipe! Halafu mimi nilianza kufaulu shule ya msingi mpaka chuo kikuu kwa hiyo sikuwa na nafasi ya kujiunga polisi kwa sababu sikuwa na sifa yao kuu ambayo ni kufeli.Mmhhh hio chukI haisaidii bt pia sio polisi walio wapiga picha.
BADALA YA KULALAMIKA KUHUSU UKOSEFU WA ELIMU WA POLISI WASOMI MUENDE MKAJIUNGE NA POLISI ILI MBADILISHE MUUNDO WAKE HII ITASAIDIA KULETA UFANISI KATIKA KAZI ZA POLISI KINYUME NA HAPO UTAENDELEA KUONYOOSHWA NA HAO UNAOWAITA DIVISION BASHITE MPK MWISHO WA DUNIA
Kuna kitu naona hakipo sawa labda mimi sijui hivi wenzetu mlio soma na kufaulu kwanini msitumie usomi wenu kubadilisha sheria iliyounda jeshi la polisi na kubadilisha vigezo vya kujiunga na polisi mpo bungeni na ma PHD yenu mnakula posho na kugonga meza mambo ya msingi hamuyaangalii kazi kulaumu na kudharau nyie wasomi ndo mnaruhusu kina Ally Kesi wanatukana watu mnawasifia nyie wasomi mliofaulu ndo mnaongoza kutumia wasio soma kwa maslahi yenu na kwa kua hata wewe uliepass kuanzia vidudu mpaka chuo kikuu umeshindwa kufata sheria ndogo za usalama barabarani zilizowekwa na wasomi wenzako hii inaonesha hata wasomi hamuheshimiani acha mnyooshwe na MABASHITEWanipata wapi mimi hao vilaza zaidi ya kunisimamisha kwenye gari na kuniandikia faini ya TZS 30,000? Tena siku hizi hata siongei nao nawaambia tu andika nikalipe! Halafu mimi nilianza kufaulu shule ya msingi mpaka chuo kikuu kwa hiyo sikuwa na nafasi ya kujiunga polisi kwa sababu sikuwa na sifa yao kuu ambayo ni kufeli.
Sina uhakika kama umenielewa. Na pia mimi siyo bush lawyer mkuu.Mr danny.kw hiyo kupigwa picha ni KUHUKUMIWA!!!???naamini hata wewe hukuwepo mahakamani lkn umejuaje km sio kupiga picha!!??WATANZANIA TUACHE U BUSH LAWYER.