Kaimu Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, Naomba Usiruhusu Udhalilishaji Huu Ndani ya Mahakama Zetu!.

Kaimu Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, Naomba Usiruhusu Udhalilishaji Huu Ndani ya Mahakama Zetu!.

Ukishafika polisi kwa kosa lolote haki zako zote zimekwisha hakuna sheria polisi wanayoijuwa!!!
Sote ni binaadabu pesa walituibia ni kubwa waache wafanyiwe kile wanachofanyiwa wa Tanzania wote haki sawa kwa kila mmoja
Angepiga magoti mtoto wa mkulima tungesikitika kweli au ni kw hawa wezi waliyo tufanya adi kutumia umeme kupikia unawaza mara 20 x20 adi tunapatwa na pressure ukipigiwa simu nyumbani gas imeisha wacha wawefunzo kwa wengine walingechapwa na viboko 12 walipo ingia mahakamani na siku ya kupata dhamani 12 mbele ya camera
 
Pascal umehemuka. Wacha sindano ingie polepole. Na kule lango la gereza lazima wachekiwe sehemu zote kama wameficha bangi au la. Uwezi kugawa ela ya mboga 10m. na ku-damage uchumi wetu afu uchekewechekewe. Kama imekuuma jinyonge. HAPA KAZI TUU.
 
wezi wa kuku mwenye thamani ya 10000 anavishwa tairi hawa wa mabilioni unataka tuwapetipeto?
Kwani hujui wanaowavisha matairi wezi wanavunja sheria? Wakishawachoma moto wezi ulishawahi kuona kuna mtu anabaki hapo? Wote ukimbia na kimwacha mwizi akiungua kwa sababu wanajua walichofanya ni kinyume cha sheria.
 
Ndani ya vyumba vya mahakama za Uingereza, India na Afrika Kusini, watuhumiwa hawaruhusiwi kupigwa picha wakiwa ndani ya vyumba vya mahakama, au mikononi mwa polisi. Kama sisi tumerithi sheria za Uingereza, kwa nini tuende kinyume cha wenzetu, unless kwa kufanya hivyo, ndio maendeleo yenyewe!.

Mkuu hapa sijakuelewa mbona kule Afrika Kusini ile kesi ya yule mimbiaji aliyempiga girlfriend wake risasi ile kesi iliuwa inaonyeshwa live na picha zilikuwa straight from chumba cha mahakama. Keshi za uholanzi tunaona live. Sijaelewa hapo hebu pengine kuna kitu nin miss.
 
Mbona huo ni utaratibu wa kawaida pale mahakamani. Mtuhumiwa akitoka ndani ya Mahakama wakati anasubiri karandinga anatakiwa kuchuchumaa ili asikimbie. Huu utaratibu umekuwepo kwa muda tu. Nashangaa leo kuna watu mnajitoa fahamu! Au kwa kuwa ni Singasinga na Ruge!? Inapelekea kuamini kwamba Bwana Pascal Mayalla umeshachukua bahasha kutoka huko kunako "Dude".

Umesahau ya kwamba Yona na Mramba nao walichutama wakati wanasubiri karandinga!?
Unaweza ikawa ni mazoea lakini siyo sheria. Ni kweli hayo uliyosema yanafanyika sana.
 
Nilijisikia vibaya sana kuwaona hao wazee wawili wakipigishwa magoti lakini nikakumbuka kuwa hata wale jamaa wa EPA walipigishwa magoti siku walipopelekwa mahakamani kwa mara ya kwanza.

Ni udhalilishaji mkubwa sana wa utu wa mtu, kama sio jambazi hatari ambaye muda wowote anaweza akataka kutoroka kwanini adhalilishwe?. So sad.
 
Nakubaliana na mtoa mada, kosa ni kosa haijalishi kafanyiwa nan iwe Kina TID na wenzie au Rugemarila na mwenzie, ni kinyume cha utaratibu wa sheria na taratibu ambazo tunazifata kama nchi, ukiangalia Ibara ya 13 ya Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 inakataa vitendo vya udhalilishaji kama hivi..Tukiendelea kunyamaza ni kulea kosa
Kwaiyo ibara 13 ya mwaka 1977 imeonekana baada ya singasinga na ruge kupigishwa magoti? Mngeenza na wanyonge kwanza ambao ata kuweka mawakili tatizo
 
Huu ni unafiki tu NAZANI kuna kitu nyuma yenu hayo mambo yanafanyika ktk mahakama zote tu..Leo mmekula Pesa zao mnaanza kuwatetea ooh wamedhalilishwa daaah!jiandaeni kisaikolojia tu na kuwapelekea chai
Una uhakika na ulichoandika! Uhuru wa mawazo hauna maana kuandika uzushi!
 
Kwani sheria inasemaje kuhusu uhuru na haki ya mtu kupigwa picha,ila kukuta tajiri jela ni nadra kwa hizi nchi za kiafrika labda kama umegombana na watawala au mgumu kutoa hela,ngoja tuone.
 
Kwa jicho la tatu bwana Pascal hicho picha zimepigwa kwa makusudi kabisa kufikisha ujumbe flani ILA hiyo ni zuga tu wala hawaendi gerezani hao,hiyo ni EPISODE nyingine mpya kama zilizopita lengo bado halijafikiwa.Stay tuned
 
Uniweza ikawa ni mazoea lakini siyo sheria. Ni kweli hayo uliyosema yanafanyika sana.
Na ndio maana nikasema ni "Utaratibu" mkuu. Not necessarily iwe sheria. Kuna mambo mengi hapa Tanzania tunafanya kwa Taratibu na sio sheria....ikiwemo hilo la kuchutama nje ya Mahakama wakati unasubiri karandinga. Au unapovuliwa viatu na mkanda wakati unashikiliwa katika kituo cha Polisi.
 
goes around must comes around leo issue ya nyumba za umma,ile meli ya jeshi tunaona ni kijikesi lakii atakuja mwenzie and do things the same as he does,nchi yetu inongozwa na misingi ya sheria sio nchi ya kijeshi ni nchi ilio katika utawala wa demokrasia luxuries,ornaments and all magnificent around the white house,strong and unbeatable armies,vifaru na kila ghasia visikuondolee utu hata kwa sekunde kuta madhubuti hudondoshwa,miamba huvunjwa ..
"Using force is not a sign of strength,but rather a sign of weakness" Dalai Lama
 
wezi wa kuku wakidhalillishwa sawa tu ila kwa rugemalila ni udhalilishaji nyie wabongo kwa kujipendekeza ni mabingwa
Safi kabisa kaka, mwambie Pascal Mayalla, huku mtaani boda boda wanachapwa fimbo na magogo, mwizi wa ndoo na sufuria ni kasheshe (hapo wana bahati kama hawajauawa), ila hatujoana zikiletwa kwenye bodi, kama sio unafiki nini nini?!
Hawa wanatuhumiwa kwa kutumia kampuni feki wameiibia serikali madola na mabilioni ya shilingi, Pascal Mayala alitaka watandikiwe red carpet?!
Na bado waliopewa zile hela kama njugu, twataka iwe hivyo hivyo.
Wafanyabiashara wa kweli hawagawi hela kama njugu, na hatujawaona wakifanya hivyo kuanzia Mengi, Dewji, Bakhresa, Zakaria n.k. n.k. Hata wangetambaa kama nyoka poa tu, iwe fundisho kwa wengine..
 
sio mwanasheria ila nilipita jkt. navyojua ziko kanuni zinamuhusu mtuhumiwa. ukiwa chini ya ulinzi kama mtuhumiwa hauko huru unakua umekamatwa. ndio maana unawekwa pingu askari lazima awe amekutia mkononi. unaweza kupigishwa magoti. kwa ufupi askari anakudhibiti usitoroke. inafanyika hivyo kwa watuhumiwa wote hua tunaona. sasa hawa watuhumiwa wawili matajiri wanashutuma za utapeli wa kimataifa uliyoletea nchi hasara kubwa na watu wengi wana hasira nao. kwa nini paskali unaona watendewe tofauti. tena hawa ndio hatari wanaweza kutoraka kiajabu polisi lazima wawe macho kodo.
Ni sahihi kabisa mkuu. Kuna gazeti moja la leo jina limenitoka, limeandika Mtuhumiwa mmoja kati ya hao wahujumu amekamatwa akiwa Uwanja wa Ndege akiondoka nchini.
 
Back
Top Bottom