Kaimu Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, Naomba Usiruhusu Udhalilishaji Huu Ndani ya Mahakama Zetu!.

Kaimu Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, Naomba Usiruhusu Udhalilishaji Huu Ndani ya Mahakama Zetu!.

Nakuheshimu bro ulichoona ww ni udhalalishaji tu ela walizotuibia ? kweli Magufuri kawashika pabaya lazima mtafute kasoro tena wangechapwa na bakora juu 12 ... wache waisome namba nao waishi ka mashetani
 
As much as siwakubali hao jamaa kutokana na tuhuma zao, ila hilo la kudhalilishwa sijalipenda, na huwa haitokei kwao tu, ni kila mtu anachuchumaa kisha waandishi wanawapiga picha, sijaelewa mantiki yake mpaka leo

Nakuunga mkono ulichokileta ila nimeshangaa kuleta baada ya hao watu ambao una kitu nao wamefanyiwa hivyo ndio unaileta, wale waliotajwa na Makonda walifanyiwa pia hivyo hivyo, ila hilo halikuzungumziwa
Hao wa Makonda, walifanyiwa HAYO kwenye viwanja vya mahakama? au ndani ya vyumba vya mahakama?
 
As much as siwakubali hao jamaa kutokana na tuhuma zao, ila hilo la kudhalilishwa sijalipenda, na huwa haitokei kwao tu, ni kila mtu anachuchumaa kisha waandishi wanawapiga picha, sijaelewa mantiki yake mpaka leo

Nakuunga mkono ulichokileta ila nimeshangaa kuleta baada ya hao watu ambao una kitu nao wamefanyiwa hivyo ndio unaileta, wale waliotajwa na Makonda walifanyiwa pia hivyo hivyo, ila hilo halikuzungumziwa
Kweli kabisa nakubaliana na wewe mkuu kwa mfano nilimuona TID,DOGO HAMIDU, Babuu wa kitaa etc walipigishwa magoti kipindi walivyotajwa kama watumiaji wa madawa ya kulevya.

Na watuhumiwa wengi katika mahakama zetu wanapigishwa magoti lakini paskal kaliona walivyofanyiwa hawa tu?!! Kwaiyo hawa ndio walitakiwa kuwa treated tofauti kuliko wengine katika nchi hii?
 
Nakubaliana na mtoa Mada. Jana nilimuona yule Mzee Rugemalira na Mwenzake Singh wakichuchuma kwa taabu sana. Singh alikosa nafasi ya kuchuchuma ilibidi Rugemalira asogee kidogo ili apate nafasi.Tusirudie vitendo kama hivi tena. Sisi wote ni binadamu. Leo kwako kesho kwa mwingine.
mkuu hiki unacho kitetea/shangaa ndo umekiona leo kwa mara ya kwanza?
 
Nakuheshimu bro ulichoona ww ni udhalalishaji tu ela walizotuibia ? kweli Magufuri kawashika pabaya lazima mtafute kasoro tena wangechapwa na bakora juu 12 ... wache waisome namba nao waishi ka mashetani
Hajaona yeye, KIPO KWENYE KANUNI..... Mnapoambiwaga msijichukulie sheria mkononi huwa mnaelewa ina maana gani?
 
Tusichague mahala gani tupigie kelele sheria zetu zifuatwe! Haya waliyotendewa Ruge na Singasinga ni mambo ya kawaida kutendewa walala hoi! Binadamu wote ni sawa, tupige kelele pia hata wezi wa kuku wakifanyiwa hivi!!!!!
 
Nyie watu sijui mnaakili gani ?!!

Sisi ndugu zetu wezi wa kuku kila siku wanadhalilishwa lkn kuonekana picha hizi ndio mnajifanya mnaumia....

Hawa ni wahalifu, utaratibu uendelee kama kawaida.

Hata mm nimelisema hilo, tuna macho kwa Ruge na Singasinga, ndio maana kuna wakati nao kama wengi wetu watz tuna akili za ajabu kabisa!!!
 
Paskali unasema unaamini polisi wanajua kumpiga picha mtuhumiwa mikononi mwa polisi ni kinyume cha kanuni, kumpiga picha mtuhumiwa akiwa ndani ya chumba cha mahakama ni kinyume cha kanuni. Jee, unawaongelea hawahawa polisi wa Tanzania au wa nchi nyingine? The last time I checked, mtu akipata division zero au division bashite ndio hua anaenda kujiunga na jeshi la polisi na wengi wao hata kuandika maelezo tu vituoni ni shida, sasa je watajuaje sheria kama hizo? Paskali tafadhali kuwa serious kidogo!
Hahhah unajua kuna watu wana div one ila hizi sheria hawazijui?cha kujiuliza kwenye huo upolisi wao huwa wanafundishwa sheria zinazowazunguka katika mazingira ya kazi yao??
 
Haaa Paskali hapa umekosea.. Kupigwa picha kwa dunia ya leo ni kawaida sana sana.. Hizo sheria ziko old kabisa.. Yaani mwizi, fisadi kama Seth, Rugemarila wasipigwe picha kisha sheria hizo za old time? Je nchi itajuaje kuwa wamekamatwa? Si ndio mtaanza kusema ni kuigiza na kuanza kuongea hovyo?

Tena ww Paskali ingekuwa hujaona picha au videos wamekamatwa ungeamini ni kweli wamekamatwa? Tena picha zipigwe kwa wingiiiiiii sana dunia ijue hawa mafisadi serikali ya Rais wetu mpendwa JPM imewanasa..

Na bado watafungwa na kulipa.. Mchezo hakuna tena hii ni CCM MPYAAAA...
 
Mtalaumu Polisi bure wakati walitumwa wafanye vile
Wale wametumwa ili wahukumiwe na raia
 
Nakubaliana na mtoa Mada. Jana nilimuona yule Mzee Rugemalira na Mwenzake Singh wakichuchuma kwa taabu sana. Singh alikosa nafasi ya kuchuchuma ilibidi Rugemalira asogee kidogo ili apate nafasi.Tusirudie vitendo kama hivi tena. Sisi wote ni binadamu. Leo kwako kesho kwa mwingine.

Hapana. Kuna Askari anatoa amri wasogee mbele ili wapiga picha waweze kuwaona vizuri. Yaani askari alikuwa anawapanga ili picha ionekane vizuri. Utasikia askari anawaamrisha waangalie mbele ili nyuso zao zionekane.
 
Waliopiga picha siyo Polisi
Nawakizuiwa hao lazima mrudi hapa kuropoka
Akili gani hii? Kwani mleta uzi amesema waliopiga picha ni polisi? Polisi ndio walitakiwa wasimamie sheria kwa kutoruhusu kupiga picha.
 
Tuko kwenye kick mode. Bila kudhalilisha hatuonekani tunatetea wanyonge. Sio mbaya wacha walioko madarakani wafanye watakavyo lakini mlango umeshafunguliwa kwamba ukiwa madarakani fanya upendavyo lakini ukitoka utakutano na ulichowafanyia wenzio, kama ni kinyume utaisoma namba. Mfano halisi muone Sumaye saa hii analimia meno. Lakini enzi zake alikuwa anawachukulia wapinzani ni kama mashetani.
yaleyale ya zambia,.

Kutesa kwa zamu
 
Paskali,

Tuache unafiki. Hebu niambie ni waTanzania wangapi wanaodharirishwa tena zaidi ya hao walioambiwa kuchuchumaa and no body cares?

Tuache huu unafiki. watu wamepiga kelele jinsi wafungwa/mahabusu wanavyokuwa treated, jinsi magereza yalivyo machafu but no body cares. hata sidhani kwenye bajeti kuna mbunge anasimama kuhoji magereza yanaendeshwa vipi. Leo singa singa ameambiwa achuchumae chini unaandika thread ndeefu kwamba amedharirishwa? Human rights zinakuwa human rights for the rich and stronger but not for the poor and the wretched of the earth? Si ndiyo?

Ngoja tusubiri tuambiwe kwamba inabidi wajengewe gereza lao maana yaliyopo ni machafu.

Kaka yangu Paskali, wazungu wanasema: If the society cannot protect the weak in its midst, what makes you think that they will protect the stronger when times come?

All I can say: Tupige kelele wee..lakini Magufuli anatufundishia watoto kitu kimoja muhimu sana (it may be late for me and you) kwamba CRIME DOESNT PAY! Tufanye kazi kwa bidii tule na kuridhika na tunachopata kwa halali. Mengine ni porojo.

Masanja
Ujumbe mzuri sana mkuu kila kitu umemaliza. If you play dirt hayo ndio matokeo. Wanafik hawaachi kujitokeza utawajua tu na bado
 
Nakubaliana na mtoa Mada. Jana nilimuona yule Mzee Rugemalira na Mwenzake Singh wakichuchuma kwa taabu sana. Singh alikosa nafasi ya kuchuchuma ilibidi Rugemalira asogee kidogo ili apate nafasi.Tusirudie vitendo kama hivi tena. Sisi wote ni binadamu. Leo kwako kesho kwa mwingine.
Tid na wenzake ukuona ilo mkuu au kwa vile hawa wana pesa? Ama kweli masikini hana rafiki
 
Akili gani hii? Kwani mleta uzi amesema waliopiga picha ni polisi? Polisi ndio walitakiwa wasimamie sheria kwa kutoruhusu kupiga picha.
Wewe ndio akili zako huzitumii vyema kuelewa
Nimesema wangezuiwa lazima mngerudi humu kuropoka uhuru wa habari
 
Back
Top Bottom