Dini yangu ndio muhimu zaidi , na dini yangu inafundisha niwe mzalendo wa nchi yangu pia nitende haki na uadilifu kwa watu wote regardlesslyKipi cha muhimu zaidi kwako kati ya nchi yako na dini yako??
Kwani lazima tuwe na Zanzibar? Sasa kwa mfano mimi Zanzibar inanisaidia nini? Eti tunu. Kuna upuuzi Nyerere alirithisha vitoto vyake alivyoongoza kama vifaranga unatugharimu mpaka leo. Mimi nikiwa Rais asubuhi basi jioni hilo limiungano limeshajifia maana halitusaidii chochote.Common sense is not so common!
Hizi ni nyakati za kuwaunganisha watanzania zaidi na zaidi.
Kauli za utengano ni mbaya kuliko vitendo.
Tanzania ni nchi moja 97% ikiwa ni Tanganyika (Bara).
Wenye akili washauri pande zote za muungano zitumie kauli na matendo ya hekima na busara.
Acha aitwe Yuda maana hayajitambui. Matanganyika yote yaliyopo serikalini ni kama kondoo tu wanapelekwa na mchungaji wao.Xenophobia ilianza kupitia hisia za Wazanzibari sasa zinageuka rasmi kwa kasi kuwa matendo. Upendeleo unaofanyika hivi sasa wa kugawa sawa kwa sawa wa rasilimali za nchi ndio unaowapa kiburi.
Wananufaika sana na uchache wao kulinganisha na wingi wa Watanganyika, na hivyo kuanza kuwadharau wazi wazi na hata kuthubutu kumuita kiongozi mkuu kimamlaka wa Kitanganyika Yuda msaliti.
Nyerere sio wakulaumiwa yeye alifanya vile kwa wakati hule na mazingira yaliyokuwepo, hapa wakulaumiwa ni hao wanajiita wasomi uchwara kushindwa kutengua taurati..kama waliona kuna makosa kwanini mpaka leo yanakumbatiwa..Babu alituachia aliyaacha nchi mikononi mwetu tena ikiwa salama..Wakulaumiwa ni sisi tena hasa Hao wanaojiita wasomi.Kama kuna vitu Nyerere alichemka ni Muungano na ujamaa. Alichemka sana Mzee wetu hapo.
Ndio maana Wachina wanawanyoosha tu wanadini shupavu kupitia internment camps, kulea ujinga wa aina hii huwezi kuwa na nchi bora.Dini yangu ndio muhimu zaidi , na dini yangu inafundisha niwe mzalendo wa nchi yangu pia nitende haki na uadilifu kwa watu wote regardlessly
Nafuatilia kwa karibu ili kupata ukweli wa kali hizo za waziri,
SIsi Watanganyika ni mazezetu, tumegeuzwa shamba la BibiVipi wazanzibari wanaoishi Tanganyika, wao wanatibiwa kwa kutumia ZHIF au NHIF?
My point exactly, huu muungano uvunjike tu kwani hata kwa Tanzania Bara(Tanganyika) unaielemea na ni hasara tupu. Mbona wenzao Ngazija wana-survive kivyaovyao.Boss, mpango wa tiba Bure ni kwa wanzibar ila kama unalipia matibabu basi huduma ni kwa wote,shida iko wapi hapo?
Binafsi naamini kabisa lau Zanzibar isingekuwa kwenye muungano wangefika mbali sana
Hii ndoa ilishakua ngumu wanaoi ng'ang'ania hatujui ina maslahi gani maana hata kiusalama haijalishi tuna Zanzibar hatuna Alishabab wakiamua kutukalisha wanatukalisha tu..Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haiwezi kugharamia matibabu kwa Watu wasio Wazanzibar.
Saada ametoa kauli hiyo Juni 8, 2026 wakati akijibu hoja kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupitia vikao vinavyoendelea vya kujadili bajeti mbalimbali.
“Mtu ambaye sio Mzanzibar anakwenda katika hospitali zetu anaonesha matibabu kadi, pili Watu kuzuiwa nadhani nilitoa maelezo sana, sio ZHF inaanza bali inaendelea kuwasajili wengine ambao sio wa sekta ya umma”
“Wakati Wanachama wa ZHF wakiendelea kusajiliwa kulikuwa na Matibabu Kadi zikitolewa unakwenda kwa Sheha unachukuliwa taarifa zako unakwenda hospitali hakuna anayekurudisha ilo moja, la pili kilichokuwa kikibainika kwa wenzetu wa hususan kwa ngazi ya Masheha si waaminifu, Mtu si Mzanzibar anakwenda kwenye hospitali zetu anaonesha matibabu kadi na wale waliokuwa wanakaa pale wanamwambia atoe kitambulisho cha Mtanzania”
Soma Pia: Zanzibar: Naibu Waziri wa Vijana, Hassan Khamis: Wanaofanya kazi kwenye Mahotel Zanzibar siyo wazawa inabidi tufanye Mapinduzi
“Bajeti yetu ya trilioni 8 tutaweza kuwatibu Watu milioni 60 ? Tumeona wengine sio Wazanzibar wanatibiwa kwa kutumia matibabu kadi,”amesema Kaimu Waziri wa Afya.
N.B: Huyu mama tukumbuke alikuwa waziri wa fedha katika serikali ya Muungano
Mimi siamini kama wangefika mbali sana.Boss, mpango wa tiba Bure ni kwa wanzibar ila kama unalipia matibabu basi huduma ni kwa wote,shida iko wapi hapo?
Binafsi naamini kabisa lau Zanzibar isingekuwa kwenye muungano wangefika mbali sana
Wazianzibari walioko Bara warudi makwao, wanakula hela yetu!Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haiwezi kugharamia matibabu kwa Watu wasio Wazanzibar.
Saada ametoa kauli hiyo Juni 8, 2026 wakati akijibu hoja kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupitia vikao vinavyoendelea vya kujadili bajeti mbalimbali.
“Mtu ambaye sio Mzanzibar anakwenda katika hospitali zetu anaonesha matibabu kadi, pili Watu kuzuiwa nadhani nilitoa maelezo sana, sio ZHF inaanza bali inaendelea kuwasajili wengine ambao sio wa sekta ya umma”
“Wakati Wanachama wa ZHF wakiendelea kusajiliwa kulikuwa na Matibabu Kadi zikitolewa unakwenda kwa Sheha unachukuliwa taarifa zako unakwenda hospitali hakuna anayekurudisha ilo moja, la pili kilichokuwa kikibainika kwa wenzetu wa hususan kwa ngazi ya Masheha si waaminifu, Mtu si Mzanzibar anakwenda kwenye hospitali zetu anaonesha matibabu kadi na wale waliokuwa wanakaa pale wanamwambia atoe kitambulisho cha Mtanzania”
Soma Pia: Zanzibar: Naibu Waziri wa Vijana, Hassan Khamis: Wanaofanya kazi kwenye Mahotel Zanzibar siyo wazawa inabidi tufanye Mapinduzi
“Bajeti yetu ya trilioni 8 tutaweza kuwatibu Watu milioni 60 ? Tumeona wengine sio Wazanzibar wanatibiwa kwa kutumia matibabu kadi,”amesema Kaimu Waziri wa Afya.
N.B: Huyu mama tukumbuke alikuwa waziri wa fedha katika serikali ya Muungano
Wapumbavu ni wale wa Mchambawima!Watangayika ndio wapumbavu full stop
Sijui sana mambo ya vipengele vya Muungano,lakini lau wangekuwa nje ya muungano wangeweza kuvutia wawekezaji wengi na hasa ukichukulia kile ni kisiwa,uwekezaji ungekuwa wa kuvutia watalii zaidi ,naamini kabisa huu muungano lazima umeweka limit kwa baadhi ya mamboMimi siamini kama wangefika mbali sana.
Znz haibanwi na Tanganyika kwenye mapato na huchangiwa mpaka bajeti.
Wangeweza kua mbali sana hata sasa
Lau nasi tutaanzisha tiba Bure kwa watanganyika na tukawa na vibali maalumu nao wanatakiwa wasitie pua zao hapa.My point exactly, huu muungano uvunjike tu kwani hata kwa Tanzania Bara(Tanganyika) unaielemea na ni hasara tupu. Mbona wenzao Ngazija wana-survive kivyaovyao.
Hata wao bara waache kutibiwa kwenye hospitals za serikali na huduma zote za kijamii iwe wanapewa kipaumbele wa Bara hao Wazenji wawe wanahesabika kuwa ni wageni.
Kwa huu mtazamo wako wa upande wa uwekezaji na limits inawezekana upo sahihi.Sijui sana mambo ya vipengele vya Muungano,lakini lau wangekuwa nje ya muungano wangeweza kuvutia wawekezaji wengi na hasa ukichukulia kile ni kisiwa,uwekezaji ungekuwa wa kuvutia watalii zaidi ,naamini kabisa huu muungano lazima umeweka limit kwa baadhi ya mambo