Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
"napitia kipindi kigumu sana, Sina furaha yoyote kwenye maisha yangu, usiku silali nawaza furaha naitoa wapi kama wengine, sometimes watu wakiniona nje wana hisi ni mtu mwenye furaha ila ukweli ni kwamba nateseka sana Paula ndo anaelewa.
Mara watu wakuseme hivi mara vile, mara umri umeenda huna kitu Cha maana, natamani muda Urudi Nyuma Nianze Upya Ili nifute kabisa makosa yangu ila ndo hivyo haiwezekani ila nashukuru tu bado Napumua nashukuru Kwa hicho tu" Ameongea Kajala Kwa masikitiko makubwa huku akilia.
Wengi wame mpa pole Kajala, na wengi Wana hisi Kajala anaona umri umeenda huku hakuna Cha maana alicho fanya, na pia baadhi ya watu Wana sema kinacho Mtesa Kajala ni mapenzi hajawahi kupata mtu Sahihi, yote hayo ndo yana fanya ajikatie tamaa ya maisha.
Ukweli ni kwamba Kajala Anapitia Kipindi kigumu sana, na Harmonize anaweza kuwa ndo kachangia hii hali anayo Pitia Kajala Kwa Sasa.