Kajala: Natamani muda urudi nyuma nianze upya nilipokosea, ila nashukuru napumua

Kajala: Natamani muda urudi nyuma nianze upya nilipokosea, ila nashukuru napumua

Atoke nje ya mji, anunue shamba angalau ekari 5, aweke kijumba chake kidogo na mifugo, pamoja na bustani; hapo lazima furaha itakuja.
Starehe za mjini amuachie na nani? Hawa mademu wakali waziri,wadangaji wanao tikisa matako, kuna siku watakuja kulia kama Kajala ni swala mda.
 
Starehe za mjini amuachie na nani? Hawa mademu wakali waziri,wadangaji wanao tikisa matako, kuna siku watakuja kulia kama Kajala ni swala mda.
Na kuna wakati wanapata fursa, wanasahau kuwekeza kwenye vitu vya maana.
 
Watu wanambeza ila asilimia kubwa ya watu ambao tumebahatika kuufikia utu uzima tukigeuka nyuma kuangalia maisha yetu ya nyuma kuna mahali tunatamani tungepata nafasi turudi tukarekebishe.
Acha kujichuria mikosi we binti, una ukubwa gani hasa nakati hata 50s hujagusa?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
AJE CHANIKA TUISHI,MBONA FURAHA ATAIPATA TU,AKUBALI TU KUISHI MAISHA YA KAWAIDA NIPO TAYARI KUMTULIZA/ HAKUNA BRADO BALI KUNA VITZ KA KUZUGIA! PIA ISTOSHE TUNAFAHAMIANA SANA!...(TULIKUWA MABEST MAHALA FULANI ILALA)
Chanika kwa Wambili sio out kwa sirro pale plus kavitz full tank mpaka yanamwagika 😀😂
 
Anamlilia nani sasa wakati alivyochagua kuishi ndio kumemfikisha hapo
 
Back
Top Bottom