Kajala: Natamani muda urudi nyuma nianze upya nilipokosea, ila nashukuru napumua

Wala msimsingizie Harmonize...

Kajala kaanza kupinda tangu akiwa binti mdogo shule ya msingi Mbuyuni hapo hata Harmonize hajazaliwa...

Kajala alikuwa ni aina ile ya wanafunzi ambao waalimu wakiwa wanatoa maonyo, wanasema msiwe kama fulani...
Ndio mda wangu wa kumnyooshaaa sasa sasa umefika 🫩
 
One thing wanawake huwa wanajifanya wajanja wakiwa on their prime..

Huwa wanadhani uzuri wa nje ndo kipimo cha upendo wa kweli..

Ila ni makapi tu na kuna muda yana kinai.

Value ya kajala kimuonekano ni kubwa ila tayari kasha haribu. Aliolewa na p funk ila akajifanya anajua kudanga, kwamba a alikua jiji kuliko wale walo mleta.

Sasa trauma na regrets lazima imtafune na atakuwa funzo japo wanawake Kamwe no vichwa panzi wataishia kucheka tu

Issue ni kuwa mahusiano sio chai jaba kila siku yatakuwa matamu, usipo kuwa mstahimikuvu kujua mapungufu yako na ya mwenza wako utakimbia kila mtu
 
Jela si kaenda akiwa mtu mzima kabisa...

Alikuwa "maarufu" tangu binti mdogo, umaarufu usio na tija...

Hata hivyo kwa kuwa bado yupo hai ana nafasi ya kugeuza historia yake isomeke upya...
Huyo ana jina anaweza kupata milioni hamsini chap tu akafanya biashara, pia huyo hakosi wa kumuoa mkuu, sema wanabagua wanataka mastar lakini pia huyu demu anampenda harmonize, Hilo pia ni tatizo siamini kama kakosa wakumuoa
 
Kuna wenzie kadhaa waliondoka pasipo kupata nafasi ya kujirekebisha kiroho (rehabilitation)

Yeye kama amepata neema hiyo sasa, ni vyema akaachana na ya Dunia na kufanya yale ya kumpendeza Mungu

Changamoto kubwa za wengi walioishi/wanaoishi kwa Kudanga, huwa hawako na shughuli za kuwaingizia kipato ukiachana na kuuza nyuchi pekee

Kwahiyo ni abadani mtu wa hivyo kusimama kiroho, kwa maana atakapojitojeza mwenye pochi nene, lazima mtu afungue mapaja

BTW, Kila la heri kwake
 
Unaskia anasema Paula huwa ananiombea... Alaf anaanza kulia ila kweli malezi kwa wakubwa pekee siku hizi hadi watoto wanalea wazazi
 
Mimi vijana wangu wamekuwa na tabia ya kuniombea kila siku wanapokwenda kulala

Na nikitaka nipate maombi mengi siku hiyo, niwaambie Sina hela ya kuwalipia Ada 🤗

Watoto huwajali sana Wazazi wao, labda itokee umemkorofisha Mama yao na wao wakajazwa sumu 🙌
 
Hakika. You seem to have a loving family
 
Wala msimsingizie Harmonize...

Kajala kaanza kupinda tangu akiwa binti mdogo shule ya msingi Mbuyuni hapo hata Harmonize hajazaliwa...

Kajala alikuwa ni aina ile ya wanafunzi ambao waalimu wakiwa wanatoa maonyo, wanasema msiwe kama fulani...
Jamani this is too much😂
 
"napitia kipindi kigumu sana, Sina furaha yoyote kwenye maisha yangu, usiku silali nawaza furaha naitoa wapi kama wengine, sometimes watu wakiniona nje wana hisi ni mtu mwenye furaha ila ukweli ni kwamba nateseka sana Paula ndo anaelewa.

Mara watu wakuseme hivi mara vile, mara umri umeenda huna kitu Cha maana, natamani muda Urudi Nyuma Nianze Upya Ili nifute kabisa makosa yangu ila ndo hivyo haiwezekani ila nashukuru tu bado Napumua nashukuru Kwa hicho tu" Ameongea Kajala Kwa masikitiko makubwa huku akilia.

Wengi wame mpa pole Kajala, na wengi Wana hisi Kajala anaona umri umeenda huku hakuna Cha maana alicho fanya, na pia baadhi ya watu Wana sema kinacho Mtesa Kajala ni mapenzi hajawahi kupata mtu Sahihi, yote hayo ndo yana fanya ajikatie tamaa ya maisha.

Ukweli ni kwamba Kajala Anapitia Kipindi kigumu sana, na Harmonize anaweza kuwa ndo kachangia hii hali anayo Pitia Kajala Kwa Sasa.
View attachment 3670949
View attachment 3670950
View attachment 3670952
Mishangazi ya Mjini hawa
 
AJE CHANIKA TUISHI,MBONA FURAHA ATAIPATA TU,AKUBALI TU KUISHI MAISHA YA KAWAIDA NIPO TAYARI KUMTULIZA/ HAKUNA BRADO BALI KUNA VITZ KA KUZUGIA! PIA ISTOSHE TUNAFAHAMIANA SANA!...(TULIKUWA MABEST MAHALA FULANI ILALA)
 
Maisha ndivyo yalivyo, unalia na kujuta ulipo, lakini hapo ulipo ndio wengine wanatamani kufika na ndio ndoto zao.
Siwezi kujutia kama muda ulikuwepo huenda pesa hazikuwepo, kama pesa zilikuwepo huenda umri haukuruhusu! Kila kitu kinatokea kwa sababu na kila mtu ana past zake chafu tuna kazi ya kunyooshea watu vidole ili tupate ahueni, hakuna lolote!🚮
 
Wala msimsingizie Harmonize...

Kajala kaanza kupinda tangu akiwa binti mdogo shule ya msingi Mbuyuni hapo hata Harmonize hajazaliwa...

Kajala alikuwa ni aina ile ya wanafunzi ambao waalimu wakiwa wanatoa maonyo, wanasema msiwe kama fulani...
kajala kamaliza hakuna ameacha, kaishacheza uchi huyo beach bam miaka hiyo, hii khanga kaisha cheza sana billicanas enzi hizo
 
Siwezi kujutia kama muda ulikuwepo huenda pesa hazikuwepo, kama pesa zilikuwepo huenda umri haukuruhusu! Kila kitu kinatokea kwa sababu na kila mtu ana past zake chafu tuna kazi ya kunyooshea watu vidole ili tupate ahueni, hakuna lolote!🚮

Sawa. Lakini kuna makosa huwa tunafanya kama binadamu yanayotufanya tujutie kwa namna flani, wewe unasemaje?
 
Back
Top Bottom