Zerock
JF-Expert Member
- Sep 3, 2026
- 853
- 1,701
Hata ukipewa nafas ya kurudi nyuma huwez kufanya unayoyataman sahiv,hizo ni fikra za watu wajinga kama kajala na weweWatu wanambeza ila asilimia kubwa ya watu ambao tumebahatika kuufikia utu uzima tukigeuka nyuma kuangalia maisha yetu ya nyuma kuna mahali tunatamani tungepata nafasi turudi tukarekebishe.