AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Single mother mpya mjiniHii nayo inahusu nini?
Single mother mpya mjiniHii nayo inahusu nini?
Mkuu wazazi wangu walishatangulia mbele za haki.. hiyo context umeiletaje hapa. Unataka kunikera sasaKamuulize Baba yako kwamba Paja la Mama yako mboni halikuvutii yeye linamvutia kweli au anakula makombo?
Fala huyuWaigizaji siyo watu wa kuwaamini
Hivi kuna mtu mwenye akili timamu anayembeza mwenzake kwamba umri umeenda? Kwani huyo anayekusema wewe, je umri wake haujaenda? Alizaliwa na miaka hiyo hiyo haiongezeki? Umri mrefu ni baraka ,mimi nikimuona mtu mwenye umri mkubwa na anadunda huwa namuheshimu kwamba amejitunza ,miaka ya sasa vijana wengi wanakufa below 35 ,yaani ukiingia tiktok ,facebook ,instagram ni taarifa za vifo hasa vijana.Mara watu wakuseme hivi mara vile, mara umri umeenda
Sio poa ii life"napitia kipindi kigumu sana, Sina furaha yoyote kwenye maisha yangu, usiku silali nawaza furaha naitoa wapi kama wengine, sometimes watu wakiniona nje wana hisi ni mtu mwenye furaha ila ukweli ni kwamba nateseka sana Paula ndo anaelewa.
Mara watu wakuseme hivi mara vile, mara umri umeenda huna kitu Cha maana, natamani muda Urudi Nyuma Nianze Upya Ili nifute kabisa makosa yangu ila ndo hivyo haiwezekani ila nashukuru tu bado Napumua nashukuru Kwa hicho tu" Ameongea Kajala Kwa masikitiko makubwa huku akilia.
Wengi wame mpa pole Kajala, na wengi Wana hisi Kajala anaona umri umeenda huku hakuna Cha maana alicho fanya, na pia baadhi ya watu Wana sema kinacho Mtesa Kajala ni mapenzi hajawahi kupata mtu Sahihi, yote hayo ndo yana fanya ajikatie tamaa ya maisha.
Ukweli ni kwamba Kajala Anapitia Kipindi kigumu sana, na Harmonize anaweza kuwa ndo kachangia hii hali anayo Pitia Kajala Kwa Sasa.
View attachment 3670949
View attachment 3670950
View attachment 3670952
Huruma anDakika za jioniiiii!!
Maji yakiwa yamesha mwagika.
😅😅 mda huu hapa nilipo ni mbugani , kuacha kwenda mbugani ni kosa la jinai tena kosa kubwaB.kubwa
Hukunijibu vp bd unakwenda mbugani pale 😄
Ova
Na wewe kwanini unataka kumkera kajala na mapaja yake yamekukosea nini mtoto wa watu? Waapumzike wanapostahiri wazazi wako kwa kutuletea mtoto km wewe unaewakosoa waliokuzaaMkuu wazazi wangu walishatangulia mbele za haki.. hiyo context umeiletaje hapa. Unataka kunikera sasa
Sikia mwanangu umri ni namba ndio maana kuna Mashangazi na ikitokea mfano mmoja wapo mimi hapa nikafungiwa room moja na huyo akasaula kitu akabakia chauwa kacheua cheeu napita nae siulizi mara 3, na usiniulize kwanini halafu sometimes kuna mambo inabidi watu mfanye km yamewapita na hamyafahamu sasa yeye anakosa nini muda huu anakula vizuri analala pazuri etc kuna nini kingine mothers fantasy utamwambia weweFala huyu
Hata kama anapitia anayopitia muda haupendi anachofanya
Kwa kusema Kuna kuzuri Kunapima pima yakoSikia mwanangu umri ni namba ndio maana kuna Mashangazi na ikitokea mfano mmoja wapo mimi hapa nikafungiwa room moja na huyo akasaula kitu akabakia chauwa kacheua cheeu napita nae siulizi mara 3, na usiniulize kwanini halafu sometimes kuna mambo inabidi watu mfanye km yamewapita na hamyafahamu sasa yeye anakosa nini muda huu anakula vizuri analala pazuri etc kuna nini kingine mothers fantasy utamwambia wewe
Dah kweli hapo mbugani😅😅 mda huu hapa nilipo ni mbugani , kuacha kwenda mbugani ni kosa la jinai tena kosa kubwa
Mkuu hio kitu bado mafuuta kabisa ng'ombe anazeeka nini sura au maini?Kwa kusema Kuna kuzuri Kunapima pima yako
Tukisema tunamaanisha mbali na credit
hahaha!Dah kweli hapo mbugani
Kuna swala wengi
Ova
Hakuna umaana kwa chochote katika hikoMkuu hio kitu bado mafuuta kabisa ng'ombe anazeeka nini sura au maini?
Sometime maisha wakati mwingine ni kukubaliana nayo jinsi yanavyokuja unakwenda nayo!Atoke nje ya mji, anunue shamba angalau ekari 5, aweke kijumba chake kidogo na mifugo, pamoja na bustani; hapo lazima furaha itakuja.
Wewe wasema na mimi nimeseme kila mtu ana njia zake za kufikia anapopatakaHakuna umaana kwa chochote katika hiko
Ulimbukeni katika maisha unakawaida ya kuaminisha kila kitu
Be awere
Sioni tatizo katika hiloWewe wasema na mimi nimeseme kila mtu ana njia zake za kufikia anapopataka