Kajala: Natamani muda urudi nyuma nianze upya nilipokosea, ila nashukuru napumua

Kajala: Natamani muda urudi nyuma nianze upya nilipokosea, ila nashukuru napumua

Maisha huwa yanataka timing kali sana,unapoona kuwa umri sasa unaanza kuyoyoma,ni lazima ubadilishe swaga la jinsi unavyoish,lakini ukitaka kuishi maisha yako bila kusoma alama za nyakati mwisho wake ni kama hivyo,kinachofuata hapo ni depression na mwisho wake huwa sio mzuri sana...
Wadada wengi maarufu wanapenda kuishi maisha ya kifahari wakati Hali zao za uchumi haziwaruhusu ndio maana wanajikuta wanakuwa wadangaji
 
"napitia kipindi kigumu sana, Sina furaha yoyote kwenye maisha yangu, usiku silali nawaza furaha naitoa wapi kama wengine, sometimes watu wakiniona nje wana hisi ni mtu mwenye furaha ila ukweli ni kwamba nateseka sana Paula ndo anaelewa.

Mara watu wakuseme hivi mara vile, mara umri umeenda huna kitu Cha maana, natamani muda Urudi Nyuma Nianze Upya Ili nifute kabisa makosa yangu ila ndo hivyo haiwezekani ila nashukuru tu bado Napumua nashukuru Kwa hicho tu" Ameongea Kajala Kwa masikitiko makubwa huku akilia.

Wengi wame mpa pole Kajala, na wengi Wana hisi Kajala anaona umri umeenda huku hakuna Cha maana alicho fanya, na pia baadhi ya watu Wana sema kinacho Mtesa Kajala ni mapenzi hajawahi kupata mtu Sahihi, yote hayo ndo yana fanya ajikatie tamaa ya maisha.

Ukweli ni kwamba Kajala Anapitia Kipindi kigumu sana, na Harmonize anaweza kuwa ndo kachangia hii hali anayo Pitia Kajala Kwa Sasa.
View attachment 3670949
View attachment 3670950
View attachment 3670952
Ni mkuu wa wilaya gani huyu?
 
Imeshakuwa screeper hiyo! Halafu kama una mafuta ya kidege ngumu kumiliki inakula sana mafuta ili iendelee kutrend mjini, yaani kumuachi msimbazi wawili kwa siku haimtoshi kabisa
Huyo ndio mzuri, hata gari chakavu hutengezwa na kuwa mpya na thamani inapenda tenaa 🫩

Mafuta ya kuishi maisha ya kawaida yapo ila haya ya kick ndio itakuwa 🥴🥴
 
hahahaha,ila kajala anacheza 40+
Screenshot_20260914-090415.png
 
Naona hajachelewa kuanzisha biashara, Kuolewa, kubadili tabia.
Wewe dogo we.. hapo unaongelea a very deep psychology behind her regrets. Sio suala la kuacha tu umalaya, ila tayari kuna life style ya miaka hiyo yote ishageuka kuwa habit. Part of her life yan hawez hata kubadili hata akiamua..
We unafikiri huyo kama ni biashara anakosa mtaji? Huyo hata biashara ya milion 50 akiamua kesho tu anafungua ila ndio tayar mindset yake ishamgomea kuwa hiyo sio life yake , yeye ni easy money, kitongaaaa.
 
Wewe dogo we.. hapo unaongelea a very deep psychology behind hwr regrets. Sio suala la kuacha tu umalaya, ila tayari kuna life style ya miaka hiyo yote ishageuka kuwa habat. Parr of her life yan hawez hata kubadili hata akiamua..

yuko hivyo toka utoto wake, waliomundekeza wengine walienda jela
 
Wewe dogo we.. hapo unaongelea a very deep psychology behind hwr regrets. Sio suala la kuacha tu umalaya, ila tayari kuna life style ya miaka hiyo yote ishageuka kuwa habat. Parr of her life yan hawez hata kubadili hata akiamua..
We unafikiri huyo kama ni biashara anakosa mtaji? Huyo hata biashara ya milion 50 akiamua kesho tu anafungua ila ndio tayar mindset yake ishamgomea kuwa hiyo sio life yake , yeye ni easy money, kitongaaaa.
Mtoto wake alisema hela kubwa kuhongwa ni 70M, akaitumia kununua gari.
Niliumia sana bora angejenga hata kibanda ale kodi.
 
Back
Top Bottom