Kajala: Natamani muda urudi nyuma nianze upya nilipokosea, ila nashukuru napumua

Wadada wengi maarufu wanapenda kuishi maisha ya kifahari wakati Hali zao za uchumi haziwaruhusu ndio maana wanajikuta wanakuwa wadangaji
 
Ni mkuu wa wilaya gani huyu?
 
Imeshakuwa screeper hiyo! Halafu kama una mafuta ya kidege ngumu kumiliki inakula sana mafuta ili iendelee kutrend mjini, yaani kumuachi msimbazi wawili kwa siku haimtoshi kabisa
Huyo ndio mzuri, hata gari chakavu hutengezwa na kuwa mpya na thamani inapenda tenaa 🫩

Mafuta ya kuishi maisha ya kawaida yapo ila haya ya kick ndio itakuwa πŸ₯΄πŸ₯΄
 
Naona hajachelewa kuanzisha biashara, Kuolewa, kubadili tabia.
Wewe dogo we.. hapo unaongelea a very deep psychology behind her regrets. Sio suala la kuacha tu umalaya, ila tayari kuna life style ya miaka hiyo yote ishageuka kuwa habit. Part of her life yan hawez hata kubadili hata akiamua..
We unafikiri huyo kama ni biashara anakosa mtaji? Huyo hata biashara ya milion 50 akiamua kesho tu anafungua ila ndio tayar mindset yake ishamgomea kuwa hiyo sio life yake , yeye ni easy money, kitongaaaa.
 
yuko hivyo toka utoto wake, waliomundekeza wengine walienda jela
 
Mtoto wake alisema hela kubwa kuhongwa ni 70M, akaitumia kununua gari.
Niliumia sana bora angejenga hata kibanda ale kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…