joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Starehe za mjini amuachie na nani? Hawa mademu wakali waziri,wadangaji wanao tikisa matako, kuna siku watakuja kulia kama Kajala ni swala mda.Atoke nje ya mji, anunue shamba angalau ekari 5, aweke kijumba chake kidogo na mifugo, pamoja na bustani; hapo lazima furaha itakuja.
Oya nchimbi yupo wapi?ok.🐒
aisee hata mimi naulizia dau la uwoya ila hamna mwenye connection humuHivi huyu dau lake sh ngapi
alikua wapi?Oya nchimbi yupo wapi?
Na kuna wakati wanapata fursa, wanasahau kuwekeza kwenye vitu vya maana.Starehe za mjini amuachie na nani? Hawa mademu wakali waziri,wadangaji wanao tikisa matako, kuna siku watakuja kulia kama Kajala ni swala mda.
Wengi huwa tunajisahau na kujiringanisha na wengineSometime maisha wakati mwingine ni kukubaliana nayo jinsi yanavyokuja unakwenda nayo!
Oya acha dharau nchimbi yupo wapi?alikua wapi?
Acha kujichuria mikosi we binti, una ukubwa gani hasa nakati hata 50s hujagusa?Watu wanambeza ila asilimia kubwa ya watu ambao tumebahatika kuufikia utu uzima tukigeuka nyuma kuangalia maisha yetu ya nyuma kuna mahali tunatamani tungepata nafasi turudi tukarekebishe.
Utu uzima kwani ni kuanzia wapi? Mimi najua ukishafikisha 35 tayari wewe ni mtu mzima sio kijana tenaAcha kujichuria mikosi we binti, una ukubwa gani hasa nakati hata 50s hujagusa?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Sawa mtu mzima umeeleweka vizuri sana mkuu.Utu uzima kwani ni kuanzia wapi? Mimi najua ukishafikisha 35 tayari wewe ni mtu mzima sio kijana tena
Chanika kwa Wambili sio out kwa sirro pale plus kavitz full tank mpaka yanamwagika 😀😂AJE CHANIKA TUISHI,MBONA FURAHA ATAIPATA TU,AKUBALI TU KUISHI MAISHA YA KAWAIDA NIPO TAYARI KUMTULIZA/ HAKUNA BRADO BALI KUNA VITZ KA KUZUGIA! PIA ISTOSHE TUNAFAHAMIANA SANA!...(TULIKUWA MABEST MAHALA FULANI ILALA)