Kaka anataka kuvunja ndoa kisa mdomo wa mkewe!

Bikra mpuuzi kbs Nilikuwa Nampa kichapo daily kwa sababu ya dharau..nikimwambia haelewi mtoto mdogo afu ana mitusi..pesa nitafute Mimi halafu mjinga MMOJA anione me fala.
Hawana mdhamana hao, dharau mwiko!!! Ni kisago tu
 
[emoji15]x tena...si umeoa juzjuz wewe
Nikisema yote hapa nitaandika Sana na Sasa hv nakula bia hapa na enjoy kusoma thread..we tulia nitaanzisha mada yake
Ila naona Bora nusu Shari tuoe walimu wametulia tulia kuliko majobless shukran hawana kabisa pumbafu..ndo maana namuunga mkono Liverpool VPN hakuna haja ya kuoa kuweka ndani ila kuwagonga nawashauri muendelee.
 
To yeye
Kausha huyu mjinga anapenda support
Acha tumvimbishe kichwa aone watu wanamsupport na ujinga wake
Hapo utakuta ameoa na watoto watatu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

😳😳😳😳
Kwani Beesmom ni @to yeye

mbarika sio lazima wotee waoe na kuolewa.
Hata huko zamani sio wotee walioishi kwenye ndoa.

#YNWA
 
Akili za kupuuzi sana hizi
Kataa ndoa
Kula maisha
Piga kazi
Kula mbususu
Mpaka kieleweke

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Haleluyah..
🙌🙌🙌🙌

#YNWA
 
Huyo mke wa John hana tofauti na mke wa kaka yangu. Mke mlevi, muongo, mbea,muashaerati,mchonganishi .Kila siri ya ndani anayoijua lazima aimwage nje.

Sasa hivi tuko tunaandaa kuja final solution jamii isije ikatulaumu maana anasema hamuogopi mtu yoyote yule kwenye familia isipokuwa Mungu. Akianza kutukana kama amefungulia bomba. Ndoa ina mwaka mmoja na nusu.

Wanaume wema wapo, wanawake bora wapo. Ila huyu fyatu tunaenda kumfyatua.
 
Shetani uwapenda Sana wanawake wenye midomo
Kwasababu ni mpinzani wake. Ile laana ya kwenye bustani hadi leo shetani anaikumbuka. Na uzao wa mwanamke ndio unaomsumbua kwahiyo anafanya juhudi ili kukomesha uzao wake.

Shetani aliambiwa atatembea kwa tumbo na kula mavumbi.

Mwanamke atazaa kwa uchungu na uzao wake utamponda kichwa shetani, huku yeye akimgonga kisigino. (Mtoto kabla hajazaliwa huishi tumboni mwa mwanamke miezi 9)

Wote wawili walipewa adhabu ya matumbo yao.
 
Midomo yao ndio chanzo cha vipigo na vifo vyao.
Pana mmoja Tunduma anamropokea mumewe "unabeba beba mtoto utadhani mtoto wako unajua kuzaa wewe mwanaume suruari" mwanaume yupo jela hadi leo kwa kesi ya kumuua mkewe sababu mdomo. Wengi midomo yao michafu akianza kuropoka usijibizane nae jiondokee zako sio yeye huyo ni shetani keshamvaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…