Kaka unasafilisha mali ya asili - Julius Nyerere International Airport -Yamenikuta ya ajabu na kweli

Nasikitika amekuacha. Alikuwa sahihi Kwa asilimia 100%. Kutoa au kuingiza mbegu ya aina yoyote unahitaji kibali. Ubuyu uliokuwa nao ukiondoa kutiwa rangi mbegu yake bado ina uwezo wa Kuota.

Hakuwa na njaa ila alifanya makosa kukuacha.
 
Ungelainika tu, lingekuwa pigo takatifu la kutolewa pesa.

Bongo nyoso😂😂
 
Kaka kwanza pole sana kwa usumbufu. Ila staff wa viwanjani kwanza wana njaa pro max halaf wanataka kutumia ushamba wa watu kuwakamua hela
 
Lakn mbegu zenyewe haziwez kuota . Sababu zimepikwa
 
Airport hapo wadada wakorofi sana muda wowote wanakuharibia siku...
 
Pasipo kupepesa macho webabu ulikuwa unatoka Gaza🤣🤣🤣
 
Reactions: Cyb
Nasikitika amekuacha. Alikuwa sahihi Kwa asilimia 100%. Kutoa au kuingiza mbegu ya aina yoyote unahitaji kibali. Ubuyu uliokuwa nao ukiondoa kutiwa rangi mbegu yake bado ina uwezo wa Kuota.

Hakuwa na njaa ila alifanya makosa kukuacha.
Hapana, hauko sahihi Sana.

Kuna aina kama mbili hivi za makatazo ya kubeba bidhaa au vitu kwa abiria kwenye suala la usafiri wa anga. Madaraja ya Makatazo hayo ni:-

1. Prohibited items or objects.
Vitu ambavyo vinakatazwa kuvibeba, lakini abiria mbebaji hawezi kuwa arrested moja kwa moja na kuwekwa chini ya Ulinzi/kizuizi kwa kukutwa na vitu hivyo. Badala yake abiria mbebaji anaweza akapewa adhabu nyingine mbadala na akaruhusiwa kuendelea na safari yake. Adhabu mbadala ni kama vile kumnyang'anya vitu hivyo visivyoruhusiwa (Confiscating ).

2. Strictly Prohibited Items.
Hivi ni vitu ambavyo vimekatazwa kabisa tena moja kwa moja, abiria mbebaji akikutwa navyo ni LAZIMA AWE ARRESTED na kuwekwa chini ya kizuizi. Mfano wa vitu hivi ni Madawa ya kulevya au mihadarati (Narcotics).

Hivyo, huyo Afisa Uhamiaji kwa kiasi fulani alikuwa yupo sahihi kumwachia huru huyo abiria aliyekutwa na mbegu za ubuyu.
 
L na R zinakudai shuleni
 
Mara ya kwanza labda kusafiri na hayo mambooo

Mkuu Airport kama kariakoo ama mbezi stand yaan kuna wajinga wapo kupigaa majinga mienzaoo isiyojua kitu

Ukiwaq mjingamjinga hata condom watakwambia maliaasili mbadilikie uone kama ajakuomba pakiti moja na kukwambia alikuwa anatania
 
Wengekuta dagaa, wangekwambia unasafirisha mbegu za samaki.
 
Muulize ndege ashaawahi panda anzia hapo
 
Tusiwe tunapoteza muda kwa mambo ya hovyo, kama tumeshindwa kuzuia madini ndio tuje tukomae na mbegu za mibuyu? nchi nyingi za Afrika zina mibuyu na wala haiwasadii chochote.
Alikuwa anamtakaaq huyooo
 
Nasikitika amekuacha. Alikuwa sahihi Kwa asilimia 100%. Kutoa au kuingiza mbegu ya aina yoyote unahitaji kibali. Ubuyu uliokuwa nao ukiondoa kutiwa rangi mbegu yake bado ina uwezo wa Kuota.

Hakuwa na njaa ila alifanya makosa kukuacha.
Nadhani hiyo sheria ya mbegu inge exclude mbegu za mibuyu. Sijawahi kuona mtu amepanda mbuyu.
 
Uko sawa Mkuu.
 
Yeah najua
Kuna mzungu nilimpa mbegu za kahawa akasage huko kwao wakamkatalia Airport

That's was 2014.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…