Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungelainika tu, lingekuwa pigo takatifu la kutolewa pesa.Nasafiri kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere International Airport.
baada ya mabegi kupita kwenye scanner ,begi moja likaonekana lina tatizo.
Likaekwa pembeni ,nikaitwa ,mpekuzi akalifungua na kupekuwa akatoa pakiti ambayo ilikuwa na ubuyu,ule ubuyu wa rangi nyekundu ambao kwa sasa ni maarufu hapa Tanzania.
Mdada mpekuzi akautoa na kuniambia ,je hukuliwona bango pale nikasema ,sikuangalia kwani kila kitu ni kawaida nina vipakiti vya chipsi za muhogo ,kipo kipakiti cha kolosho na vingine mastafeli mawili,yaani vijizawadi na vingine vyangu mwenyewe.
Dada akaluka na kudai hujui kuwa unasafilisha hazina ya Taifa ,nikamuuliza kwani dada shida ipo wapi ,mbona sikuelewi ?
Tumekamata hazina ya Taifa, unasafiisha mbegu za ubuyu kinyume cha sheliya ulitakiwa uwe na kibali toka mali ya asili.
Kwanza nilifurahi sana na kucheka na kumwambia kama unautaka nikuwachie ,na hivi hizo mbegu zitachukuwa miaka mingapi hadi kuleta mazao ? Na niambia kama kuna Mtanzania aliepanda mbegu za ubuyu tokea tupate uhuru ?
Na hii mibuyu mbona ipo kila sehemu na siku hizi tu ndio tumenza kusikia mtu akisema huu M'buyu wangu ,nikafoka na kubadilika rangi ,mweusi lakini niligeuka rangi na kuwa mwekundu.
baada ya watu kuanza kuuliza kuna nini dada akalifunga begi na kuniambia sawa safari njema ila usijaribu tena kupita na mali ya asili bila ya kibali.
Wengi waliosikia walisema ni dalili ya njaa hapa Tanzania.
Yes, sure you know of courseJamaa alikuwa wakili mzuri
Kaka kwanza pole sana kwa usumbufu. Ila staff wa viwanjani kwanza wana njaa pro max halaf wanataka kutumia ushamba wa watu kuwakamua helaNasafiri kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere International Airport.
baada ya mabegi kupita kwenye scanner ,begi moja likaonekana lina tatizo.
Likaekwa pembeni ,nikaitwa ,mpekuzi akalifungua na kupekuwa akatoa pakiti ambayo ilikuwa na ubuyu,ule ubuyu wa rangi nyekundu ambao kwa sasa ni maarufu hapa Tanzania.
Mdada mpekuzi akautoa na kuniambia ,je hukuliwona bango pale nikasema ,sikuangalia kwani kila kitu ni kawaida nina vipakiti vya chipsi za muhogo ,kipo kipakiti cha kolosho na vingine mastafeli mawili,yaani vijizawadi na vingine vyangu mwenyewe.
Dada akaluka na kudai hujui kuwa unasafilisha hazina ya Taifa ,nikamuuliza kwani dada shida ipo wapi ,mbona sikuelewi ?
Tumekamata hazina ya Taifa, unasafiisha mbegu za ubuyu kinyume cha sheliya ulitakiwa uwe na kibali toka mali ya asili.
Kwanza nilifurahi sana na kucheka na kumwambia kama unautaka nikuwachie ,na hivi hizo mbegu zitachukuwa miaka mingapi hadi kuleta mazao ? Na niambia kama kuna Mtanzania aliepanda mbegu za ubuyu tokea tupate uhuru ?
Na hii mibuyu mbona ipo kila sehemu na siku hizi tu ndio tumenza kusikia mtu akisema huu M'buyu wangu ,nikafoka na kubadilika rangi ,mweusi lakini niligeuka rangi na kuwa mwekundu.
baada ya watu kuanza kuuliza kuna nini dada akalifunga begi na kuniambia sawa safari njema ila usijaribu tena kupita na mali ya asili bila ya kibali.
Wengi waliosikia walisema ni dalili ya njaa hapa Tanzania.
Lakn mbegu zenyewe haziwez kuota . Sababu zimepikwaKwa kiasi fulani wapo sahihi kuzuia usafirishaji wa mbegu za mimea bila kibali hususani kwa safari za kimataifa. Kwa safari za ndani ya nchi sioni Kama Kuna tatizo.
Aidha, sababu ya kwamba wanazuia usafirishaji wa mbegu hizo eti kwa kuwa ni 'mali ya asili' Wala haina mashiko hata kidogo. Nchi zingine wanazuia usafirishaji wa mbegu za mazao kutokana na sababu za kiusalama, yaani ni katika kudhibiti usalama wa vyakula (Food Security and Quality Control)
Pasipo kupepesa macho webabu ulikuwa unatoka Gaza🤣🤣🤣Kwa kweli wewe umejitetea kihekima sana na umempsha huyo dada.Lazima aliona haya kwa wenzake.
Ni kweli watanzania hakuna aliyewahi kupanda mbuyu.Na kama ulikuwa unakwenda Ulaya wala hizo mbegu za ubuyu hazioti huko.
Kwa kifupi sisi watanzania katika biashara na safari za kimataifa tuna vituko sana ndio maana hatuonekani sana huko nje kuliko majirani zetu.
Karibuni hivi mimi nilibeba mti mzima mzima kwenye mfuko nikaweka kwenye begi na tena huo mti huko kwao ni mali sana lakini hawakunizuia kupita nao uwanja wa ndege.
Hapana, hauko sahihi Sana.Nasikitika amekuacha. Alikuwa sahihi Kwa asilimia 100%. Kutoa au kuingiza mbegu ya aina yoyote unahitaji kibali. Ubuyu uliokuwa nao ukiondoa kutiwa rangi mbegu yake bado ina uwezo wa Kuota.
Hakuwa na njaa ila alifanya makosa kukuacha.
L na R zinakudai shuleniNasafiri kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere International Airport.
baada ya mabegi kupita kwenye scanner, begi moja likaonekana lina tatizo. Likaekwa pembeni, nikaitwa, mpekuzi akalifungua na kupekuwa akatoa pakiti ambayo ilikuwa na ubuyu, ule ubuyu wa rangi nyekundu ambao kwa sasa ni maarufu hapa Tanzania.
Mdada mpekuzi akautoa na kuniambia ,je hukuliwona bango pale nikasema sikuangalia kwani kila kitu ni kawaida nina vipakiti vya chipsi za muhogo, kipo kipakiti cha kolosho na vingine mastafeli mawili,yaani vijizawadi na vingine vyangu mwenyewe.
Dada akaluka na kudai hujui kuwa unasafilisha hazina ya Taifa ,nikamuuliza kwani dada shida ipo wapi ,mbona sikuelewi ?
Tumekamata hazina ya Taifa, unasafiisha mbegu za ubuyu kinyume cha sheliya ulitakiwa uwe na kibali toka mali ya asili.
Kwanza nilifurahi sana na kucheka na kumwambia kama unautaka nikuwachie ,na hivi hizo mbegu zitachukuwa miaka mingapi hadi kuleta mazao ? Na niambia kama kuna Mtanzania aliepanda mbegu za ubuyu tokea tupate uhuru ?
Na hii mibuyu mbona ipo kila sehemu na siku hizi tu ndio tumenza kusikia mtu akisema huu M'buyu wangu ,nikafoka na kubadilika rangi ,mweusi lakini niligeuka rangi na kuwa mwekundu.
baada ya watu kuanza kuuliza kuna nini dada akalifunga begi na kuniambia sawa safari njema ila usijaribu tena kupita na mali ya asili bila ya kibali.
Wengi waliosikia walisema ni dalili ya njaa hapa Tanzania.
Mara ya kwanza labda kusafiri na hayo mamboooNasafiri kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere International Airport.

Wengekuta dagaa, wangekwambia unasafirisha mbegu za samaki.Nasafiri kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere International Airport.
baada ya mabegi kupita kwenye scanner, begi moja likaonekana lina tatizo. Likaekwa pembeni, nikaitwa, mpekuzi akalifungua na kupekuwa akatoa pakiti ambayo ilikuwa na ubuyu, ule ubuyu wa rangi nyekundu ambao kwa sasa ni maarufu hapa Tanzania.
Mdada mpekuzi akautoa na kuniambia ,je hukuliwona bango pale nikasema sikuangalia kwani kila kitu ni kawaida nina vipakiti vya chipsi za muhogo, kipo kipakiti cha kolosho na vingine mastafeli mawili,yaani vijizawadi na vingine vyangu mwenyewe.
Dada akaluka na kudai hujui kuwa unasafilisha hazina ya Taifa ,nikamuuliza kwani dada shida ipo wapi ,mbona sikuelewi ?
Tumekamata hazina ya Taifa, unasafiisha mbegu za ubuyu kinyume cha sheliya ulitakiwa uwe na kibali toka mali ya asili.
Kwanza nilifurahi sana na kucheka na kumwambia kama unautaka nikuwachie ,na hivi hizo mbegu zitachukuwa miaka mingapi hadi kuleta mazao ? Na niambia kama kuna Mtanzania aliepanda mbegu za ubuyu tokea tupate uhuru ?
Na hii mibuyu mbona ipo kila sehemu na siku hizi tu ndio tumenza kusikia mtu akisema huu M'buyu wangu ,nikafoka na kubadilika rangi ,mweusi lakini niligeuka rangi na kuwa mwekundu.
baada ya watu kuanza kuuliza kuna nini dada akalifunga begi na kuniambia sawa safari njema ila usijaribu tena kupita na mali ya asili bila ya kibali.
Wengi waliosikia walisema ni dalili ya njaa hapa Tanzania.
Muulize ndege ashaawahi panda anzia hapoHapana, hauko sahihi Sana.
Kuna aina kama mbili hivi za makatazo ya kubeba bidhaa au vitu kwa abiria kwenye suala la usafiri wa anga. Madaraja ya Makatazo hayo ni:-
1. Prohibited items or objects.
Vitu ambavyo vinakatazwa kuvibeba, lakini abiria mbebaji hawezi kuwa arrested moja kwa moja na kuwekwa chini ya Ulinzi/kizuizi kwa kukutwa na vitu hivyo. Badala yake abiria mbebaji anaweza akapewa adhabu nyingine mbadala na akaruhusiwa kuendelea na safari yake. Adhabu mbadala ni kama vile kumnyang'anya vitu hivyo visivyoruhusiwa (Confiscating ).
2. Strictly Prohibited Items.
Hivi ni vitu ambavyo vimekatazwa moja kwa moja, abiria mbebaji akikutwa navyo ni LAZIMA AWE ARRESTED na kuwekwa chini ya kizuizi. Mfano wa vitu hivi ni Madawa ya kulevya au mihadarati (Narcotics).
Hivyo, huyo Afisa Uhamiaji kwa kiasi fulani alikuwa yupo sahihi
Alikuwa anamtakaaq huyoooTusiwe tunapoteza muda kwa mambo ya hovyo, kama tumeshindwa kuzuia madini ndio tuje tukomae na mbegu za mibuyu? nchi nyingi za Afrika zina mibuyu na wala haiwasadii chochote.
Australia na Fiji. Labda uwe umenunua duty free.Kuna nchi zao lolote haiingii. Ati mchele, ndizi nanasi etc
Nadhani hiyo sheria ya mbegu inge exclude mbegu za mibuyu. Sijawahi kuona mtu amepanda mbuyu.Nasikitika amekuacha. Alikuwa sahihi Kwa asilimia 100%. Kutoa au kuingiza mbegu ya aina yoyote unahitaji kibali. Ubuyu uliokuwa nao ukiondoa kutiwa rangi mbegu yake bado ina uwezo wa Kuota.
Hakuwa na njaa ila alifanya makosa kukuacha.
Sahihi Mkuu.Lakini shida ikawa hawajui njia ya kutafsiri sheria na kumfafanulia vyema mhusika. Tatizo kubwa sana hili.
Uko sawa Mkuu.Kwa kiasi fulani wapo sahihi kuzuia usafirishaji wa mbegu za mimea bila kibali hususani kwa safari za kimataifa. Kwa safari za ndani ya nchi sioni Kama Kuna tatizo.
Aidha, sababu ya kwamba wanazuia usafirishaji wa mbegu hizo eti kwa kuwa ni 'mali ya asili' Wala haina mashiko hata kidogo. Nchi zingine wanazuia usafirishaji wa mbegu za mazao kutokana na sababu za kiusalama, yaani ni katika kudhibiti usalama wa vyakula (Food Security and Quality Control)
Yeah najuaKimsingi katika nchi nyingi sana usafirishaji wa vyakula au mbegu za mazao kwenye ndege za abiria bila vibali hairuhusiwi kisheria. Wanakataza kutokana na sababu za kiusalama, hata kupanda kwenye ndege ukiwa na chupa ya maji ya kunywa sometimes pia huwa hawaruhusu.