Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Pole nyingi kwa Mh. Mbowe na familia. Marehemu apumzike kwa amani - AMINA....
Kwa niaba yangu binafsi na familia yangu na kwa niaba ya wanajf wote , nachukua nafasi hii kumpa pole kamanda Mbowe na ndugu zake kwa msiba huo .
...
Asante kwa masahihisho ya Kiswahili, sikijui sana mkuu, najua cha kuombea maji tu... Pole nyingi kwa Mh. Mbowe na familia. Marehemu apumzike kwa amani - AMINA.
Hapo red; isomeke "Mimi binafsi" na sio "Kwa niaba yangu binafsi"; huwezi kujiwakilisha!