TANZIA Kaka wa Freeman Mbowe, Charles Mbowe afariki Dunia

TANZIA Kaka wa Freeman Mbowe, Charles Mbowe afariki Dunia

Taarifa zilizotufikia kutoka Chadema zinaeleza kwamba Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho amelazimika kukatisha kampeni za operesheni haki huko Zanzibar na kurejea Tanganyika baada ya kupokea taarifa za kifo cha Kaka yake aitwaye Charles Mbowe.

View attachment 1845577

Kwa niaba yangu binafsi na familia yangu na kwa niaba ya wanajf wote , nachukua nafasi hii kumpa pole kamanda Mbowe na ndugu zake kwa msiba huo .

INNALILLAH YA INNALILLAH RAJUUN .

View attachment 1845579
Poleni sana Wafiwa KAZI ya MUNGU haina MAKOSA
 
Mungu ampumzishe pema
 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
Pole Mh. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
 
Pole nyingi kwa Familia, ndugu na marafiki wote walioguswa na msiba huu. Mwenyezi Mungu awe faraja yenu kipindi hiki cha msiba😭😭

Nimewahi kusali mara moja na Mbowe Mmoja pale KKKT Mikumi miaka ya nyuma kidogo, watakuwa wanaundugu na huyu Freeman Mbowe??
 
Taarifa zilizotufikia kutoka Chadema zinaeleza kwamba Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho amelazimika kukatisha kampeni za operesheni haki huko Zanzibar na kurejea Tanganyika baada ya kupokea taarifa za kifo cha Kaka yake aitwaye Charles Mbowe.

View attachment 1845577

Kwa niaba yangu binafsi na familia yangu na kwa niaba ya wanajf wote , nachukua nafasi hii kumpa pole kamanda Mbowe na ndugu zake kwa msiba huo .

INNALILLAH YA INNALILLAH RAJUUN .

View attachment 1845579
Corona au
Nauliz hivyo kwa sababu vijana wa chadema huwa mnadhani wale wafuasi wa CCm wanaokufa wote ni kwa kutofata taratibu za kujikinga, pia wote wanaokufa ni corona.
Na mmekuwa mkitoa pole za kejeli je huyo nae hakupata chanjo?
Nawapeni pole makamanda ila kifo hakina chama wala mjanja.
Muwe na staha wanapokufa wa upande mwingine kwani wote ni binadam.

Nasema hivyo baada ya kifo cha yule diwani pale moshi, kuna comment humu zulikua zinakera.
 
Hivi Barakoa nzuri ni za Vitambaa au zile za kutoka kwa Mabeberu? Nasubiri Majibu yenu ya haraka tafadhali.
Mabeberu wanasema mradi uzibe pua na mdomo. Wengine wakipanda basi wanafunzi kima pua na mdomo kwa kutumia hijabu aliyoivaa.
 
Hivi Barakoa nzuri ni za Vitambaa au zile za kutoka kwa Mabeberu? Nasubiri Majibu yenu ya haraka tafadhali.
Barakoa zote zinatumia aina ya kitambaa. Hakuna Barakoa ya ngozi, chuma, nyasi au miti.
Kama unamaanisha kutofautisha Barakoa za khanga, vitenge, na zile za vitambaa maalum, Mfano surgical , au hizi za kisasa zaidi zenye kinga maradufu, bila kujali katengeneza beberu, kenge au nguruwe, zile zenye kinga maradufu ni bora zaidi.

Kwa sasa tunaweza ku-afford kufanya comedy kama alivyofanya Magufuli, kwenye suala hatari sana la Korona. Kuna wakati utafika tutanyooshwa na Korona, hapo tutakuwa serious
 
R.I.P Charles..! Pole sana M/kiti wangu Mhe, Mbowe Kwa msiba, tupo pamoja katiba kipindi hiki cha majonzi ya kumpotenza mpendwa wetu ..
 
Back
Top Bottom