Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa zilizotufikia kutoka Chadema zinaeleza kwamba Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho amelazimika kukatisha kampeni za operesheni haki huko Zanzibar na kurejea Tanganyika baada ya kupokea taarifa za kifo cha Kaka yake aitwaye Charles Mbowe.
Pia soma > Mbowe awataka wananchi wasihudhurie msiba wa Kaka yake kuepuka maambukizi ya COVID-19
Kwa niaba yangu binafsi na familia yangu na kwa niaba ya wanaJF wote, nachukua nafasi hii kumpa pole kamanda Mbowe na ndugu zake kwa msiba huo.
INNALILLAH YA INNALILLAH RAJUUN.