TANZIA Kaka wa Freeman Mbowe, Charles Mbowe afariki Dunia

Mwamba ameishasema tayari.Ni Covid 19
 

Akifa mtu wao unawaona wanakuwa wapole na akili zinawarudia,ngoja afe sasa wasiyempenda,wanajivika na U mungu mtu wa kuhukumu na kutumia lugha isiyo na staha.
 
Mwenyewe kasema ni covid
 
Duh Pole kwa familia ya akina Mbowe, enzi za ujana miaka ya 80 & 90 Charles muda wote alikuwa kwenye viunga vya Mbowe hotel (bills).
RiP Kaka Charles. Hii Familia Jamani Mungu akasimame katikati Yao. Ni miaka ya Juzi Tu alikufa Dada Kwa Ajali, akafa Maximilian, akafa Yule Mwanajeshi wa Salasala. Huyu Charles Sijui ni Yule aliyekuwa ana Nywele ndefu anazibana Kwa Nyuma?? Tulikuwa tunamuita Mmarekani?! Daaaah Mbowe Mungu akutie Nguvu na kukupa Faraja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…