Kaka yake Humphrey Polepole athibitisha kutekwa kwa ndugu yake (Polepole) na mtu anayefahamika kama Mafwele

Kajuaje aliyemteka? sasa kama ana chip si mfuatilieni yupo wapi? huyu naye ni walewale hakujipanga unatoa siri za mgonkwa tena?
 
Mafwele una familia kaka, jitokeze ukanushe tuhuma hizi na nyingine nyingikukuhusu - kuna siku utabakia peke yako ukoo mzima. Utaona Dunia yote inakucheka...watu waoga wakiamua huwa hawana simile linalo huwa na liwe.
 
Kaokotwa kizembe sana Rtrd Ambassador ameshindwa kuwa na Bomba?
Hata mimi nimeshangaa sana.

Chifu Mkwawa tu miaka ya 1880s hakukubali kukamatwa kindezi vile, iweje kwa Mwanasiasa wa leo ambaye tunasema ni msomi na ana exposure kubwa? Hapo Polepole kafeli pakubwa sana. 🙆

Mtu alikuwa anaongea mambo mazito vile alishindwaje kuwa na bastola, silaha ya kivita au bomu la kurusha kwa mkono, kiasi kwamba hadi anakamatwa angekuwa amewalaza watu kadhaa sakafuni? Kama Peter Zakaria wa Tarime aliweza yeye Humphrey Polepole amekwama wapi? Hovyo kabisa.
 
POS
 
Tafadhali Sana tunaomba mwacheni Polepole bila masharti yoyote kabla ya giza kuingia. Kitendo cha kumshikilia polepole mnafanya tuamini aliyokua anaongea ni kweli hata kama tulikua tumeyapuuza tukidhani ni chuki binafsi za polepole
 
Kafeli Sana...
 
Mafwele na yeye afatiliwe wapi anaishi asirudi nyumbani kwake na familia yake na kama ana watoto na mke tunawasubiria popoye wakiwa...
Huyu anafanya kazi za kishetani huyu. Kama ni kweli inafaa hayo uliyo zungumzia yamhusu. Hii siyo kazi ya kufurahia kuifanya maishani.

Huyu Mafwele na Jumanne Mulilo, kutakuwa kuna uhusiano wa aina fulani kati yao; siyo tu kikazi na pengine hata wanakotokea asili yao.
 
Na polisi wameshindwa jua iyo kiki?
Basi polisi watakuwa weupe sana kama polepole katafuta kiki na polisi hawajui alipo.
Mzaha sio mzahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…