The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
HahahaHuyu mtoto utakuwa umempigia sana nyeto
HahahaHuyu mtoto utakuwa umempigia sana nyeto
Kajuaje aliyemteka? sasa kama ana chip si mfuatilieni yupo wapi? huyu naye ni walewale hakujipanga unatoa siri za mgonkwa tena?Agustino Polepole, ambaye ni kaka yake Humphrey Polepole, amethibitisha kuwa ndugu yake ametekwa na kumtaja afisa wa polisi aitwaye Mafwele, ZCO wa Jeshi la Polisi Tanzania, kuwa anahusishwa na tukio hilo usiku wa kuamkia leo Oktoba 6, 2025.
Aidha, Agustino ameeleza kuwa mdogo wake ana kifaa maalumu (chipu) mwilini kinachomwezesha kufuatiliwa, hivyo wanaendelea kupata taarifa za mahali alipopelekwa na watekaji.
Soma: Humphrey Polepole ametekwa leo asubuhi Oktoba 6
Hata mimi nimeshangaa sana.Kaokotwa kizembe sana Rtrd Ambassador ameshindwa kuwa na Bomba?
Nadhani ni kutokana na Ukaribu kati ya jk na mzee kimambi enzi za uhai wakeWrite your reply...mmewahi kuona popote pale mange kimambi anaisema vibaya familia ya jk?
POSKama ni kweli nimesikitishwa ila Polepole nae anawachafua watu alio nao sehemu moja alikuwa hafikirii? Halafu pia Polepole alishakuwa chambo kwa hawa wanaharakati. Kumteka Polepole na kuisingizia serikali lazima iwape kiki wanaharakati uchwara. Mange na Maria wanaweza kuwa ndo wamemteka ili kufanikisha agenda zao.
Wewe inaonekana ni muhuni unayependa matako makubwa aka nyuma😎Yote tumkabidhi tu mrembo vale Nafaka ni yeye tu ndie amebakia mwenye uwezo wa kuikomboa nchi.
View attachment 3484364
adriz The Consigliere Mpetde babukijana
Kula chuma hicho maamaeWewe inaonekana ni muhuni unayependa matako makubwa aka nyuma😎
wote ni hao haoNadhani ni kutokana na Ukaribu kati ya jk na mzee kimambi enzi za uhai wake
Ndiyo maana Mascopion anamkwepa, anagusa wengine!!with
Kafeli Sana...Hata mimi nimeshangaa sana.
Chifu Mkwawa tu miaka ya 1880s hakukubali kukamatwa kindezi vile, iweje kwa Mwanasiasa wa leo ambaye tunasema ni msomi na ana exposure kubwa? Hapo Polepole kafeli pakubwa sana. 🙆
Mtu alikuwa anaongea mambo mazito vile alishindwaje kuwa na bastola, silaha ya kivita au bomu la kurusha kwa mkono, kiasi kwamba hadi anakamatwa angekuwa amewalaza watu kadhaa sakafuni? Kama Peter Zakaria wa Tarime aliweza yeye Humphrey Polepole amekwama wapi? Hovyo kabisa.
Huyu anafanya kazi za kishetani huyu. Kama ni kweli inafaa hayo uliyo zungumzia yamhusu. Hii siyo kazi ya kufurahia kuifanya maishani.Mafwele na yeye afatiliwe wapi anaishi asirudi nyumbani kwake na familia yake na kama ana watoto na mke tunawasubiria popoye wakiwa...
The Company knows Exactly !! They call him Mr Born Townhakuna mtu hatari km, Mtoto wa MJINI. ukimchafua umepotea.
»don't mess with him.
Na polisi wameshindwa jua iyo kiki?Kama ni kweli nimesikitishwa ila Polepole nae anawachafua watu alio nao sehemu moja alikuwa hafikirii? Halafu pia Polepole alishakuwa chambo kwa hawa wanaharakati. Kumteka Polepole na kuisingizia serikali lazima iwape kiki wanaharakati uchwara. Mange na Maria wanaweza kuwa ndo wamemteka ili kufanikisha agenda zao.
Jeshi si ndiyo CCM, au una maana gani??? Jeshi si ndiyo wanawaweka hawa watu madarakaniHii nchi ichukuliwe tu na Jeshi