Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 2,732
- 4,568
Mkuu umeongea ukweli mtupu wanamtengeneza Tanzania kuja kuwa kama Congo. Tukiendelea hivi ndani ya miaka 20 tutakuwa kama Congo.Kwenye hii age ya information overload unaweza kuamini kitu pale tu kinapotokea na sio kabla;
Lakini kabla hatujafika huko haipaswi hata tuwepo hapa tulipo - Kwenye hii Age ya AI na Teknolojia na Hatari inayoikumba dunia ya kesho kwa watu kukosa Ujira kwa kutokuhitaji Manpower tungekuwa tunaongelea jinsi ya Ku-conquer mazingira yetu kama species (kupambana na mazingira) na sio kupigania haki za msingi za binadamu au a brother killing another brother....
Huu muda ambao nguvu kazi hii inatumika kwa kudai haki zake za msingi kabisa huenda angekuwa anafuga kuku au kulima mchicha....
In short Utawala huu umeturudisha sana nyuma....; Na huu muda wakati sisi tunapiga mark-time kina China wanazidi kuchanja mbuga - Sisi tunatengeza Chuki na Waasi wa Kesho na Keshokutwa - Failed State
Kama uliangalia muvi za RAMBO iitwayo FIRST BLOOD NO 2 huwezi mpuuza Augustine pole pole...Huyu jamaa kila siku anachimba biti tu 😂.
Nina mashaka kama kweli ni kaka wa Humphrey.
Hana nia yoyote ile ya kufanya anachokitishia.
Huwezi kuwaambia watu wajizatiti maana unakuja.
Mbinu ya kiboya sana hiyo.
Tarehe 29 mlipotangaziwa mandamano mlisema ni mikwara, yaliyokuja kutokea sasa Duniani kote wanalia, Kaka yake katoa saa 24 wasipomwachia kitachofuata utamlaumu nani kwa kupuuza tahadhari hiyo?Hii inanikumbusha Hekaya ya A boy who cried Wolf....; Anyway ninamuelewa kupotelewa na ndugu inaumiza na hii vita sio yake tu, bali ni ya kila Mtanzania kwa Mtanzania mwenzetu (hata kama ni adui yako au hafai) kushikwa au kupotezwa....
Ni hatari sana katika jamii kuwa na wahuni wanaoweza kufanya hivyo - ila hii mikwara sidhani kama inatupeleka popote kwenye solution - after all Simba mwenda Pole....
Kuna wale hungojea umejisahau ndipo hulipa kisasiKama uliangalia muvi za RAMBO iitwayo FIRST BLOOD NO 2 huwezi mpuuza Augustine pole pole...
Inaweza isiwe kesho ila Akafanya REVENGE wakati wa AMANI maana askari mwenye akili upigana vita vyake wakati wa amanii
Kama hayupo ndipo tutajua matokeo ya saa 24Sidhani kama polepole tunae hadi sasa 💔 😭
Hapo ndipo saa 24 itatoa jawabuKuhusu Polepole wasahau, wazike tu viatu
Atakuwa kalala ikulu kwa mama yake ananyonya huku akipigwa mashine kuna watu wana raha dunia hiiWanu Hafidh Ongeza ulinzi
Mwanamke umeanza maneno yako, muda ndio hakimu wa kweli!!Huyu naye sometimes ni kama chihuahua ambwekee bulldog akiwa ndani ya fensi
😀Ajiandae akikaa vibaya atalambwa shaba, hizo raha mwisho wake umekaribiaAtakuwa kalala ikulu kwa mama yake ananyonya huku akipigwa mashine kuna watu wana raha dunia hii
Mimi ningekuwa mamlaka wala nisingewakamata kabisa kina Polepole, huyu au yoyote yule anayeongea hivi vitu (hususan huyu aliyepoteza ndugu) kwa Serikali kutumia Mabavu kwa raia kipindi hiki ambacho news ni lukuki na kila kitu kinapita ni Ulimbukeni - Ndio maana hata hawa wanaokamata na Kuteka ni Wahuni waliopata madaraka (Kichaa kupewa Rungu) - Hakuna faida yoyote ya kuwashika hawa watu, bora hizo pesa / rasilimali uzitumie kwenye propagandaKaka samahani kidogo mi najiuliza mbona huyu jamaa hakamatwi na kikosi kazi, wanamuogopa?
Hii ni saa 4 asubuhi masaa 24 yameisha na masaa mengine ya ziada yameongezeka mpaka sasa bado ukimya umetawala na hatujasikia milio yoyote mpaka muda huu..View attachment 3508409
Hii huwa hatari sana, watu wa medani huwa wanamuogopa sana huyu kuliko kombania nzima!
Tatizo la kuongozwa na akili ndogo..Mimi ningekuwa mamlaka wala nisingewakamata kabisa kina Polepole, huyu au yoyote yule anayeongea hivi vitu (hususan huyu aliyepoteza ndugu) kwa Serikali kutumia Mabavu kwa raia kipindi hiki ambacho news ni lukuki na kila kitu kinapita ni Ulimbukeni - Ndio maana hata hawa wanaokamata na Kuteka ni Wahuni waliopata madaraka (Kichaa kupewa Rungu) - Hakuna faida yoyote ya kuwashika hawa watu, bora hizo pesa / rasilimali uzitumie kwenye propaganda
Huwezi kuishi kama Chicken Run katika hii Age ya Information Overloads ukisema maneno 50 kumi yakatokea haimaanishi wewe ni msema kweli (probability wise hio ni 10 percent na ni kawaida kwenye law of average)Tarehe 29 mlipotangaziwa mandamano mlisema ni mikwara, yaliyokuja kutokea sasa Duniani kote wanalia, Kaka yake katoa saa 24 wasipomwachia kitachofuata utamlaumu nani kwa kupuuza tahadhari hiyo?
Uko sahihi.Mkuu unapokua kwenye situation ya mtu wako ameshikiliwa hostage na unamuhitaji akiwa hai unachofanya kwanza ni kutumia "soft power" ili aweze kuachiwa na Agustino ameshafanya hilo kwa muda mrefu kupitia kesi ya mahakama na video zake, Sasa hii stage ya pili huwa ndio final na deadly ndio ile unaenda kumchukua kwa nguvu au nawewe unawashikilia au unaua wapendwa wa watekaji ili wapate maumivu kama yako.
Hapa huwa hakuna kurudi nyuma kama alivyosema mwenyewe maana ni maamuzi magumu na ya mwisho ambayo huwa yanaleta "collateral damage" inayoweza kusababisha ndugu yake kuuawa na watekaji au kuachiwa kwa kuhofia na wao kuuawa.
Kwahio kuwaambia wajiandae ni kwamba wajue yupo serious na jambo Lake na kwamba watafakari kama wapo tayari kwa madhara yake
Hapa sasa ndio tusubiri kama anachosema Agustino ndicho alichomaanisha.