Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe, kinyume na hapo atalipa kisasi

Uko sahihi.
Maana ukifanya shambulio la ghafla binadamu ni vigeugeu huwa wana mchezo wa kugeuka baadae na kukulaumu kwa hatua uliyofikia na kujifanya hawakuwa na nia mbaya na ndugu yako na kwamba ungewaomba wangekupa mtu wako
Ni kweli hapo anaondoa lawama
 
Mpumbavu tu huyu jamaa
USSR
 
Mbona nimesikia mlio kama wa risasi barabarani... Kwa huo mlio mkubwa bila shaka ni JK kagongwa risasi haiwezi ikawa ni tairi la gari kupasuka.
24 hrs zimepita.
Kanali ameanza harakati za kumkomboa dogo
 
Mpumbavu tu huyu jamaa
USSR
Kwa nini unamwita mpumbavu mtu anayepambani haki ya mdogo wake ambaye inasemekana ametekwa/ameuawa? Kwa hiyo kupambania watu wasitekwe/wasiuawe ni upumbavu?

Kwa hiyo siku ikitokea wewe au ndugu yako ametekwa/kuawa tuje tushangilie tusichukue hatua yoyote?
 
Ngoja masaa yaishe kwanza maana sio wao wanatembea na ule mfumo wa Wait & See basi subiri tuone..
Mkuu masaa 24 yameshaisha kuna jipya gani huko?
Au tusubiri masaa 48?
 
Kila muda narefresh nisikie kama comred wapalianda keshaanza yake.
 
Jamani mpaka sasa saa 24 zimepita. Bado hajakinukisha?
 
Jamaa alikuwa na mikwara, hadi anaongea kwa code. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…