Thesonboy
JF-Expert Member
- Nov 20, 2025
- 895
- 2,499
Polepole hajafa. Acha kuleta taharukiPole pole hakuuliwa chumbani ila alikuwa na majeraha. Wakaona wakimpeleka mahakamani itakuwa soo wakammaliza baada ya kushauriana.
Polepole hajafa. Acha kuleta taharukiPole pole hakuuliwa chumbani ila alikuwa na majeraha. Wakaona wakimpeleka mahakamani itakuwa soo wakammaliza baada ya kushauriana.
Ni kweli hapo anaondoa lawamaUko sahihi.
Maana ukifanya shambulio la ghafla binadamu ni vigeugeu huwa wana mchezo wa kugeuka baadae na kukulaumu kwa hatua uliyofikia na kujifanya hawakuwa na nia mbaya na ndugu yako na kwamba ungewaomba wangekupa mtu wako
Huyu naye sometimes ni kama chihuahua ambwekee bulldog akiwa ndani ya fensi
🤣🤣🤣🤣Mbona nimesikia mlio kama wa risasi barabarani... Kwa huo mlio mkubwa bila shaka ni JK kagongwa risasi haiwezi ikawa ni tairi la gari kupasuka.
Mpumbavu tu huyu jamaaKaka yake Humphrey Polepole, anayejitambulisha kama Kanali Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe au apelekwe Segerea kwa Mama yake, vinginevyo Kikwete, Ridhiwani, Samia, IGP na wengine waongeze ulinzi maana atalipa kisasi
24 hrs zimepita.Mbona nimesikia mlio kama wa risasi barabarani... Kwa huo mlio mkubwa bila shaka ni JK kagongwa risasi haiwezi ikawa ni tairi la gari kupasuka.
Kwa nini unamwita mpumbavu mtu anayepambani haki ya mdogo wake ambaye inasemekana ametekwa/ameuawa? Kwa hiyo kupambania watu wasitekwe/wasiuawe ni upumbavu?Mpumbavu tu huyu jamaa
USSR
Usiache kunitag24hrs zishapita kwahiyo anytime tutashuhudia wahuni wakiliwa VICHWA.
Mkuu masaa 24 yameshaisha kuna jipya gani huko?Ngoja masaa yaishe kwanza maana sio wao wanatembea na ule mfumo wa Wait & See basi subiri tuone..
Kasema baada ya masaa 24 atalipa kisasi.. sasa masaa 24 yamepita tusubirie kuona kisasi chakeMkuu masaa 24 yameshaisha kuna jipya gani huko?
Au tusubiri masaa 48?
Haahaa Kanal ndevu mkundugu.Canal ana ndevu kweli
Pili hii ni ya zamani
Jamani mpaka sasa saa 24 zimepita. Bado hajakinukisha?Kaka yake Humphrey Polepole, anayejitambulisha kama Kanali Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe au apelekwe Segerea kwa Mama yake, vinginevyo Kikwete, Ridhiwani, Samia, IGP na wengine waongeze ulinzi maana atalipa kisasi
Mkia juuMsilale vijana.... Ngiri Mtoni.
Hivi siku hizi yupo wapi? Au na yeye kanyamazishwa?Jamaa alikuwa na mikwara, hadi anaongea kwa code. 😂😂😂
Alikuwa anasubiri drones zifike, bado anazi test.Hivi siku hizi yupo wapi? Au na yeye kanyamazishwa?