Kaka yangu amechomwa Moto kwa kudhaniwa ni mwizi

Pond himself again.
Baba G
Leo mwamba umekuwa mkali sana
Kumbuka huo ni upande wa mleta mada mkuu other side of story who knows the fact
But hao vibaka na wale wanaotuibia rasilimali za nchi yetu tuwafanyaje mkuu
Mwizi wa kuku ,Bata,kabarib etc sawa wachomwe how about hao hulligans

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hao wakubwa wanyongwe kabisa [emoji4]
 
Dah! Pole sana mkuu! Hili suala la watu kujichukulia sheria mkononi linawaathiri watu wengi wasio na hatia.
Mkuu,kama hujawahi kuibiwa unaweza kusema hivyo,me juzi nimechapwa laptop yangu ambayo was everything to me,nimeapa sitokuwa na huruma na mtu yeyote anaedhaniwa kuwa kibaka.
 
Kuna kitu hapa.
 
Ha ha ha....
Hzo kesi na wahalifu wangu tuziweke pembeni chief[emoji4]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Pembeni tena mbona kesi ni moja mzew..!! Wangapi wanaitiwa wezi na hata sio wezi na raia wanapiga mpaka kuua
 
Wapige asidi mmoja baada ya mmoja utakuwa umeusaidia mtaa.
Na mpango wa kubeba wali wa sumu night kali nipite mitaa ya vibaka wakinikaba nawaambia kuleni wali huo sina kitu nimetoka kwenye sherehe.
 
Wezi na wachawi ni kuwapa hukumu ya torati wakiingia anga zetu maana usiombe uingie anga zao hawana huruma kabisa
 
Amechomwa moto mtaa huohuo anaoishi au kwingine tu?

Kama "kichwani hamna kitu",uwezekano wa yeye kukwapua kitu na kukimbia upo.

Jungle justice ikiendekezwa ni tatizo kubwa, nakumbuka waendesha bodaboda walivyokuwa wanachoma magari hata kama chanzo cha ajali ni mwenzao.
 
Kaleta Uzi uku ili iweje sasa?

Au uku sikuhizi kimekua kituo Cha polisi kumshughulikia jinai Kama hizo?

Polisi wamemkataa ndo maana kaja uku kutafuta huruma[emoji3525]
Si kaleta habari zake kama uluvyoleta zako za michepuko zako na wadogo zake tukasoma na kuchangia? What is wrong with you man?
 
wabongo huwajui wewe, mantiki ya uzi ni kutaka huruma
Huruma kivipi? Huyo mtu kachomwa moto mleta mada hajasema nihurumieni jamani, hajasema naombeni msaada. Kaleta tu habari ya yaliyomtokea ndugu yake. Mbona jambo la kawaida sana? Kuhusu kuwa na hatia au kutokuwa na hatia hakuna anayeweza kuthibitisha ndo maana tunaichukua habari kama ilivyo na kumpa pole.
 
sawa mpe pole
 
Ndugu yangu, huyu ndugu yake kauwawa na kwa anavyoamini kauwawa kimakosa na kinyume cha sheria za nchi yetu. Embu vaa viatu vyake.
 
Mkuu,kama hujawahi kuibiwa unaweza kusema hivyo,me juzi nimechapwa laptop yangu ambayo was everything to me,nimeapa sitokuwa na huruma na mtu yeyote anaedhaniwa kuwa kibaka.
Anayedhaniwa🤬🤬🤬🤬🤬 yaani utapiga tu sababu amedhaniwa bila kuthibitisha? Hapo umeibiwa laptop😂😂😂😂.

WE PIGA ILA USIOMBE TU UKUTANE NA JAMHURI UINGIZWE KULE KWENYE KACHUMBA CHA WATU WAUAJI. TUKORADANI TUKAGONGWA GONGWA UTAJE WENZAKO
 
Mkoa gani huko?
Mimi ninae binamu ambaye naye ni mgonjwa wa akili maji kupwa kujaa. Sasa Kuna siku hiyo Hali ikamjia akiwa Arusha halafu akaingia kwenye compound ya watu. Aisee walipiga, ng'oa meno mpaka walipokuja kugundua kua sii mwizi walishamharibu sura vya kutosha.
Soo sad watu wanapenda kuona damu ikimwagika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…