Kaka yangu ananichukia

kweli mkuu
 
Punguza hasira na jazba ulipofikia pambana mwenyewe ila usiibe fanya kazi yoyote iliyo mbele yako na usimtangazie yeyote elimu uliyo nayo kama hajakuuliza.sasa ni mwendo wa elimu ya mtaa chagama au vipi unaweza ukao..
Kwani muda gani nimetangaza elimu yangu? Au umechanganya umeniquote mtu siyo?
 
Punguza hasira na jazba ulipofikia pambana mwenyewe ila usiibe fanya kazi yoyote iliyo mbele yako na usimtangazie yeyote elimu uliyo nayo kama hajakuuliza.sasa ni mwendo wa elimu ya mtaa chagama au vipi unaweza ukao..
...lewa
 
Tatizo huenda lipo kwako wewe mwenyewe.
Je ulishawahi kumuuliza kisa cha hayo yote??
Ulishakaa na hao watu anaokusemea vibaya juua yako ukawauliza sababu anayokusemea vibaya??

Si rahisi kukuchukia muda mrefu hivyo bila sababu kijana, kaa nae umuulize kwa upole, mueleze hizo hisia zako kinaga ubaga.
Ila kama huna kipawa cha ushawishi sidhani kama wazo langu ni zuri kwako.
 
Achana nae....mie ni dada yangu alikuwa hanikubali kabisaa ikawa inaniuma sana nilijaribu kuomba msamaha kwa kosa ambalo silijui ila yeye akawa hataki kabisa...mpaka tumekuwa watu wazima tuna watoto na kazi simtafutagi....simpigii simu....tukikutana nyumban ni salamu kila mtu anafanya mambo yake...sitak shobo...wala namba yake sina....tuko mkoa mmoja wala sijui anapokaa...tunakutana nyumban kwa matukio maalum ya kifamilia namsalimia kawaida kama hamna tatizo....nadeal na wanaonipa furaha basi inatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…