Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Mwamba kapagawaMkuu hadi umepost jukwaa la Sheria,unataka kumpeleka bro wako mahakamani akajibu shutuma nini[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba kapagawaMkuu hadi umepost jukwaa la Sheria,unataka kumpeleka bro wako mahakamani akajibu shutuma nini[emoji1787]
We ni ke?Achana nae....mie ni dada yangu alikuwa hanikubali kabisaa ikawa inaniuma sana nilijaribu kuomba msamaha kwa kosa ambalo silijui ila yeye akawa hataki kabisa...mpaka tumekuwa watu wazima tuna watoto na kazi simtafutagi....simpigii simu....tukikutana nyumban ni salamu kila mtu anafanya mambo yake...sitak shobo...wala namba yake sina....tuko mkoa mmoja wala sijui anapokaa...tunakutana nyumban kwa matukio maalum ya kifamilia namsalimia kawaida kama hamna tatizo....nadeal na wanaonipa furaha basi inatosha
Yy ndo mtoto wa njeMtoto wa nje Kati ya wewe na yeye
Nimekuelewa hapo kwenye ukali wa nyota. Hii inawatokea watu wengi pasipo wao kujua, unakuta bosi na mfanyakazi wake, mpenzi na mpenzi wake, ndg na ndg, rafiki na rafiki.Hakuna lolote hapo Nyota yako kali kupita yake kwa hiyo zina shindana!! muheshim tu!! halafu mnunue kisaikolojia......fanya mambo msahahu ila ukimuona njiani usiku simamisha gari!
akipanda sawa mpeleke kwake akikataa tembea! hii itakuepusha na laana mbaya yeye ni mkubwa kwako!! sasa jifanye mbabe kwake upooze mwili!...Mndugu meengi ndo yalivyo!
Sawa kabisa Bwana Mseven! yaani ukifanyiwa ivo futa kabisaaaa kinyongo Moyoni mwako!! Utaona maajabu mbele, Vimba kimoyomoyo, fanya yako!Nimekuelewa hapo kwenye ukali wa nyota. Hii inawatokea watu wengi pasipo wao kujua, unakuta bosi na mfanyakazi wake, mpenzi na mpenzi wake, ndg na ndg, rafiki na rafiki.
Nakushauri achana nae, fanya maisha yako riziki hazitoki kwa ndugu.. Bali kwa Mungu. Ukiona ndugu anakusema kwa ndugu Baki.. Jua hapo Kuna uhasama mkubwa.. MI ndugu wa namna hiyo wananisikiaga ktk redio... Sina muda hata wa kuchukua n akutunza numba yake...mafanikio yangu anasikia kwa watu na Hana jinsi ya kujipendekeza.... Na nimeona maisha ya naendelea bila. Msongo wa mawazoKweli kabisa ndugu mpaka nikienda kwake kumsalimia anaweza akaaga na kuondoka akaniacha alone sebuleni