Kaka yangu kamtia mimba mama yetu mdogo. Hili lipoje kwa Wanyakyusa?

Kama wakijua we ndio utakua chanzo unaonyesha ni mmbeya xnaa ww
 
Exactly
 
Sasa upewe ushauri gani?
Nyie kijijini hzmtaki kuishi, waachie wanaoishi huko wale firigisi!
 
Kaka unatukosea wanyakyusa wengine ambao hatujawahi fanya hivyo na hatutafanya

This generalization thing itaisha kweli
 
Mshapata mtu makini wa kutunza mji wenu. Nyie malizieni nyumba vizuri December ikifika mnaenda mnamkuta mwenyeji wenu
Hayo mengine yanamuhusu kakako, si yako wewe wala nduguzako wengine.
Halafu huyo mama sio ndugu yenu
 
Ila Wanyaki hawajuagi kuchagua, hata ndugu unakuta wanakulana🙌

Tafuteni dawa muwaogeshe hao ndugu zenu, vinginevyo msishangae miaka ya mbele kujirudia Kwa watoto wenu kuendelea kupigana miti
dunia nzima ni ndugu
 
Kwa wanyakyusa kufanya mambo ya kipuuzi ni sawa,wenye Mila na miiko ni makabila ya kaskazini.
 
Hapo kaka yenu ni mtu wenye akili sana.Though hakuna shida yoyote kwa kuwa huyo mama hamna undugu naye technically.sio haramu yenu kabisa ila SI mtu ambaye ametulia.Hata mnapoondoka Huwa Kuna watu wanakuja kumliwaza.Jambo la msingi punguzeni kurudi hapo ,vinginevyo ndoa ya ndugu yenu yafa.
 
dunia nzima ni ndugu
Ni kweli ndiyo maana haifai kudate ndugu wa damu

Hata Biology tu imeshauri ndugu wa damu hawaruhusiwi kudate sembuse kuzaa kabisa

Athari zake ni possibility ya transfer of weak genes iwapo ndugu wa damu watazaa kutoka kizazi kimoja hadi kingine
 
Mama mdogo ni nduguu, maana unaweza nyonya ziwa lake, pindi mama mzazi akiwa hayupoo!! Kosa kubwa hili.
Yani mdogo wa mke wa bamdogo wa babu mdogo? Kuna undugu gani hapo,
Tatizo ni huko kijijini tu lazima wasemwe na wanyakyusa wanavyojua kuteta watatukanwa umjini na kujiona wana hela, ila kubwa zaidi huyo shemeji yao wa kijijini atawasumbua sana kutoka kwenye hiyo nyumba na tena azae wa kiume, mtoa mada jiandaeni kisaikolojia kuna mgogoro mkubwa utatokea huko mbeleni ni ama mchague kumpa kaka yenu na nyie mjenge za kwenu
 
Haya jirani sisi wana Mbigili tumechukia sana kwa tukio hilo...
 
Hiyo mimba ni ya kwenu ama ya kaka yenu?
Kosa la mtu mmoja mwenye akili timamu liwe la familia nzima?
Hao si watu wazima jmn.

Sent from my SM-G970U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…