Kaka yangu kamtia mimba mama yetu mdogo. Hili lipoje kwa Wanyakyusa?

Basi hakuna uduguuu wowote hapo, nilijua ni mdogo wa damu wa mama yake, Lol
 
Utakuw hujaisoma vizuri sinario
huyo mama mdogo ni wa mbali sana,yaani ni shemeji wa baba yao mdogo kiukoo
wazaramo,na walugulu n.k wanaoana ndg mtu na binamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nili comment tyuuh, ila habari sikusoma kabisaa.
 
Tatizo mie habari sikuisoma, ila nilicomment tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo hakuna undugu wowotee.
 
WanaumeπŸ˜‚ hivi viumbeπŸ™Œ huyo kaka ako akija huku jf anasema kataa ndoa
 
Kazingua sana
Kazingua sana hata sielewi tutawaelezaje wazee kule kijijini,watatuona vijana wa hovyo sana
 
Mshapata mtu makini wa kutunza mji wenu. Nyie malizieni nyumba vizuri December ikifika mnaenda mnamkuta mwenyeji wenu
Hayo mengine yanamuhusu kakako, si yako wewe wala nduguzako wengine.
Halafu huyo mama sio ndugu yenu
Kwa hiyo tutakuwa tunamwita shemeji au mama mdogo
 
Utitiri wa ndugu
 
Mimba aweke mwingine, kiungulia upate wewe...eboh!!!
 
Mbona kawaida sana jmn
 
Jomba unalazimisha sana undugu. Huyo mwanamke sio ndugu yenu. Hapo mke wa kaka yako ndo ingetakiwa aandike huu uzi kuhusu mumewe. Huyo kaka yako ni mtu mwema sana kumsitiri huyo mwanamke. Kama anamudu kumhudumia aendelee tu. Nampongeza sana kaka yako kwa wema wake.
Kidumu CCM! Zidumu fikra za mwenyekiti.
 
Kuna laana zakifamilia ni ngumu kuziondoa mpaka ufanye kafara ya kuchinja .
Ikiwa ninyo ni wakristo kafara ya Yesu msalabani inatosha. Hapo kilichokatazwa kuoana watu wa ukoo mmoja wa karibu ni kuepuka magonjwa ya kurithi. Vinginevyo tujitwisha mizigo mizito na kumsingizia Mungu wakati mambo sio magumu kihivyo.

Laana mtu anachagua mwenyewe. Nje ya maagizo na amri za Mungu hakuna laana
 
.....na hata huyo baba mdogo sio wa ndani (ni baba mdogo kiukoo kwa sababu baba yake na huyo baba mdogo walishare babu),

kimsingi, huyu kijana angeweza hata kuoa mtoto wa huyo 'baba mdogo' wake na kusingekua na shida.......... (inaonekana undugu wao ni kule kushare jina la ukoo tu)
 
Kwa hiyo tutakuwa tunamwita shemeji au mama mdogo
usilazimishe undugu kihivyo bro, huyo sio mama yenu mdogo!

mke wa baba mdogo (mdogo wa damy wa baba yangu) ndio ninamwita mama mdogo, wadogo zake wa mama mdogo huwa tunashindwa kuwaita mama mdogo (wakikaa vibaya huwa wanapigwa na inaruhusiwa kuwaoa kwa baadhi ya makabila japo utatoa mbuzi kufunika aibu),

sasa huyo sio baba yenu mdogo (kwa maana ya kifamilia, sio mdogo wa baba yako), then uje kwa shemeji yake mnamwitaje mama mdogo? mbali sana hiyo!

huyo mwiteni shemeji, na usikute huyo ndugu yenu (unamwita baba mdogo)) alijua hilo litatokea.........

acheni kucomplicate maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…