Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

Status
Not open for further replies.
Siku moja nikamwambia yaani nikulishe nikuvishe halafu bado unipayukie. Una akili timamu? Kipindi baba yako anakuhudumia uliweza kumpayukis kwa sababu amekosea?
Wanawake wanapaswa kujua hakuna mkamilifu na mtu akulishae, akuvikae na kukupa mahitaji ni mtu bora sana katika maisha yako.

Wanapaswa kumkumbusha ubora aloo nao kila wapatapo nafasi... Sio kumpa stress.. Akikosea naye ni binadamu.. Wakiwa wenye busara hata yeye hubadili ka kabisa
 
β—‹ Cha kwanza dada kuwa mjinga ndoa inatesa sana wajuaji.
β—‹Pili heshima ni jambo kubwa sana katika mahusiano mwanaume ni mwanaume hata kama umemzidi shule.
β—‹Tatu mshukuru Mungu kwa zawadi ya kupata Mwenza wa kiume.
β—‹Usijikweze nakulinganisha mahusiano yako na watu wengine ridhika.
β—‹kuwa mama bora boresha mahusiano na wakwe hasa mama mkwe.
β—‹Tunza siri za familia.
β—‹Epuka marafiki hasa jinsia Ke.
β—‹ n.k
 
Asante kaka mbalizi1
KIla point itazingatiwa ila hapo kwa chiu kuna mgogoro kidogo😁.
Anataka kila siku na mm kumpa kila siku siwezi.Kuna siku naona ni keroπŸ˜ƒ
Atani cheat?
Hakuna mwanaume anayetaka na anayeweza kumtomba mkewe kila siku.

Tatizo kubwa huwa linaanza pale ambapo inatokea mara mbili mara tatu nne hata Tano mumeo anakuhitaji mtombane halafu ww unatoa excuse ambayo hata huyo mume wako anaona dhahiri kuwa unamkwepa tu (yaweza kuwa kwasababu fulani fulani) . Jambo baya sana ni kufanya hivo kwa lengo la kumuadhibu / kumkomoa ambayo ni tabia wanawake wengi miongoni mwenu mmekuwa nayo tu kama asili.

Hakuna jambo linaumiza nafsi ya mwanaume kama kunyimwa uchi na mwanamke akijua fika hakuna sababu ya maana sana ya kufanya hivo, vinginevyo inavumilika. Ukishasema sasa hivi nimechoka tufanye baadaye au kesho, na ikajirudia tena na tena na tena huwa inakata morali kwa kiasi kikubwa sana.
 
Muheshimu na kumuamini kwa dhati sio maigizo.
Ova.
 

www.google.com
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…