Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

Status
Not open for further replies.
Asante dogo ake.

Nimekuelewa.
Bless you🙏🙏
 
HIi ni precaution tu ili hii furaha anayonipa isipotee kwa uzembe wangu
I wish I could find such a dame.

Wanawake huwa hawajui kuwa ili mume akufanye Malkia ni lazima kwanza umfanye yeye kuwa Mfalme.

Hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mke mwema.

Unakuta mke siyo mtiifu, anapasha viporo na Exes wake huko afu anashangaa kwa nini mume haeleweki..
 
uzi ufungwe
 
NOTED.
Asante mkuu.
Nimekuelewa.
Nitazingatia.
 
Jiamini tu wewe km wewe usijitweze kuonyesha kama hutaki kurudi usingo maza.
Jambo moja tu mwanaume hapendi ni kuchapiwa.jiweke mbali hata na huyo alikuzalisha mwanzo.
Na najua atajileta tu akiona umepata mkombozi aloo hapo utaharibu.
Yaani ukiona analeta usengerema wake mshtaki kwa mumeo tena umsindikize mkampe kichapo pamoja
 
Pressure za kazi na kelele bado sijaingia kupambana na foleni basi huwa I wish vitu vichache sana nivipate nikifika home,
1..amani na utulivu akili ipoe
2..nile vizuri nilale
Mengine chombeza tu ila hayo muhimu zaidi, yafanyie kazi hayo mawili naaamini 80% ya wanaume tunafanana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…