Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

Status
Not open for further replies.
Amekukuna vilivyo bila shaka.
 
Poa poa kaka.
NImekuelewa vyema.
AsanteπŸ™
 
1.Kunyimwa uhuru kupita kiasi
2.Tunapenda utii na heshima
3.Kua msafi na mapishi uyajue
4.kua mbunifu kitandani
5.Elewa nyakati ,,kuna nyakati mwanaume anaweza akajikuta tu hataki ukaribu sana muelewe na tafuta suluhu ya kumsaidia.
6.HATUPENDI UMALAYA A.K.A KUCHAPIWA
7 .Penda ndugu zake
8.Acha tamaa na pesa yake usichukue bila ruhusa yake hata kama 100 hakikisha unakua muaminifu kwenye pesa wakati wote .
9.Mwisho jitahidi sana kuonesha njia ya Mungu hii itamfanya mtu wako akuheshimu zaidi na kuona unaleta baraka ndani hata mawazo mabaya yatpotea.

NB : 1,2,3,6,8 hakikisha hakikosekani hata kimoja...mengine yanavumilika ila sio hayo.
 
Wanaume kwetu mambo muhimu sana ni:
-Uaminifu
-Heshima
-Utii
-Uwazi(kuwa muwazi)
-Kuwa mkweli
-Kuwa msiri(kutokutoa habari za ndani nje)
-Utayari anapohita(unless kuwe na sababu za msingi)
-Usafi(wako binafsi na kila kitu ndani na around the premises)

Hayo mengine sijui love, ucheshi blah blah ni kama kuongezea kachumbari tu.
 
Magume gume yamekuja kuharibia Uzi..Hii ndo nini sasa?

Anyway mpotezee.

Kikubwa mpe chakula ale na ale tena.Mfanye kuwa rijali kwa vyakula plus heshima na usafi.

Over.
 
Kuwa supportive wife lkn pia kaa kwenye nafasi yako kama mke yanayo kuhusu kama mke na yalio ya mume mwachie mume afanye lkn kubwa zaidi mjue na kumeelewa aina ya mwanaume uliye naye vipaombele vyake na vitu anavyo vipendelea zaidi sisi wanaume kuna mambo ni common kwetu lkn machache tunapishana
 
that's true brother you have spoken the whole truth
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…