Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

Status
Not open for further replies.
Apigwe maana hakuna namna nyingine sasa! πŸ˜‚
 
Welcome

Actually kwanini usiwe kioo cha feminism?

Kwanini unakuwa ambassador wa kitu isichokitolea ufafanuzi..

If feminism isn't that toxic then why are you hiding it under your fragile shells?
 
Jambo ni moja tuu muheshimu sana huyo jamaa, kumpenda sana iwe nyongeza.
 
Kweli wanawake hampendani, mtoa mada ameona nyie wanawake ndio mnapoteza wanawake wenzanu, na ww umekuja kuthibitisha hilo.

Hivyo viburi vyenu kama hii kwenye comment yako ndio inawafanya muachwe singo maza
 
prida mimi nimtu mzima tena mwanamke anayejua kila kitu so acha kusema wenzako vibaya hao wanaume watakubeza hapa ila kwamaana umetudharau good go ahead tupo hapa hapa hawawezi kuwaambia chochote cha kuku jenga
Endeleeni kumpoteza mwenzenu ili muwe wengi kwenye kikundi chenu cha masingle mother wenye watoto watano watano.
 
Kua wewe ulivyo naimani ndio sababu ya yeye kukupenda ukitaka kua extra unaweza ukaharibu, kila mtu na chaguzi zake, unaweza kujifunza kumpigia goti kumbe yeye hapendi mambo hayo, jikubali, jiamini acha kua desperate hii dunia is not for a weak,

Wapende watoto/mtoto wako nyie wamama mkishapata wanaume wa "kuwastiri" mnatabia ya kubagua watoto waliowakuta nao ukiamini ndio unamfurahisha uliyenae matokeo mnaharibu watoto kisaikolojia au mnajitengenezea mahusiano mabaya na watoto wenu wakikua,

Hujataka ushauri wa makungwi ila nimekupa hivyo hivyo.
 
Hongera
 
Unajua ni nani mwenye shida?
 
Hahahaha,akiwa na zaidi ya mmoja ni malaya? Hahahaha, halafu ukute kila mmoja ana Baba ake
Yn upate mtoto wa kwanza uachwe, uwe single mother.

Upate mwanaume mwngn akuzalishe akukimbie uwe single mother tena πŸ˜‚

Huu n umalaya πŸ˜‚

Hata kama hao watoto n wa baba mmoja demu aliachwa akiwa na watoto wawili bado huo ni umalaya πŸ˜‚
 
Niko hapa nasubiri nisome wanataka nini Waume zetu 😜
Hakikisha unashukuru hata nikijamba TU,hiyo itaniongezea Hali ya kujiamini!

Wakati mwingine unanikumbusha nilipokutoa mbali huko sigimbi kwenye chumba kimoja na mlo mmoja!

Nikikukuna hata kimoja chali unaimba mapambio ya sifa na kuabudu huku ukinipiga mgongonii ukisema "wewe ni mwamba kama ukuta wa yeriko usiotikisika!

Hakika situkuacha!

Lakini ukianza kulalamika na kupiga mayowe!hata nguvu za kiume zilizobaki zitayeyuka!

Wanawake wengi mmekua kama kiredio ni kukosolewa tu hata nikinunua gauni au dela mnakosoa kila kitu,wakati michepuko Inatusifia hata tukinunua fungu la mchicha!

Umesikia!!?
 
Always be humble and play low profile.. Kisha uwe msafi na fundi wa mapishi kitandani na jikoniπŸ˜€
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…