Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

Status
Not open for further replies.
Darling kaka yako mimi natamani nikushauri mambo kadha wa kadha lakini najikuta nasitasita.

Nasitasita kwa sababu naturally Mwanamke ameumbwa kufuata rhythm ya Mume wake. Hasa kama amemwamini mumewe kwa moyo wake wote!.

Ili nisisitesite kukushauri namna ya kudumisha Furaha na Amani ya penzi lenu natamani kujua mambo yafuatayo kuhusu Shemeji;

1. Kiimani/Kiroho yeye ni mtu wa namna gani(Hapa ndipo penye siri kuu ya Sustainability ya Furaha,Umoja na Amani ya kweli and vice versa). Kumbuka nazungumzia hali yake Kiroho sio Kidini.

2. Kwao yeye ni wangapi kwa kuzaliwa?

3. Je,ni mambo yapi ambayo anayachukulia kwa uzito mkubwa zaidi kwenye maisha yake binafsi(Vipaumbele vyake)

4. Amekupendea nini?. Ni mambo yapi ambayo mara kwa mara anakusifia kwayo kuanzia muonekano wako,fikra zako mpaka tabia na mwenendo wako kwa ujumla?. Samahani naomba nijitolee mfano. Mke wangu Mimi anajua ni sehemu zipi za mwili wake zinazonisisimua zaidi kwa sababu muda mwingi napenda kuzitazama au kuzitomasatomasaπŸ˜€

5. Marafiki wa karibu wa Mumeo ni watu aina gani?

Ukinijibu angalau hayo maswali yangu hapo juu kwa Uwazi na Ukweli utakuwa umeniondolea hali ya kusitasita,hivyo nami bila hiyana nitapata guts za kusema neno!
 
Ingawa kwa kawaida binadamu tumeumbiwa kusahau, ni dhahiri kuwa ili kumu win-one mwanaume, hakutaki nguvu kubwa. Suala muhimu huwa ni kujitahidi kuachana na ubinafsi uliokithiri kwa ndugu zetu wanawake. Pia kupima maneno yanayotoka mdomoni mwako (kamdomo). Imagine mtu anasema β€˜siwezi kuhifadhi takataka katika mwili wangu’! Au wanaume wote ni mbwa! Kama hivyo basi tuachane!

Unashauriwa ukiwa na hasira, usiandike au kujibizana na mpenzi wako.

Ni kujitahidi kupunguza ubinafsi uliokithiri na kamdomo.
 
Hatuna exactly tunachopenda. Inadepend na mood ya siku hiyo so kazi yako ni kujua kusoma majira ya kila siku asubui napotoka na jioni nikrudi.
Epuka maswali maswali hapo ni nyumban sio polisi.
Epuka kujitilisha vihuruma huruma vya ovyo.
Epuka ukali wa kijinga.
Usiwe na WIVU wowote maana umeolewa kwa hisani,haikuwa wajibu

Yote kwa Yote uwe mtundu jikoni,chakula safi hii ndiyo turufu ya mwisho kwa mwanaume
 
Hahahaha halafu wote anawazalia nyumbani kwao.
 
Kweli wanawake hampendani, mtoa mada ameona nyie wanawake ndio mnapoteza wanawake wenzanu, na ww umekuja kuthibitisha hilo.

Hivyo viburi vyenu kama hii kwenye comment yako ndio inawafanya muachwe singo maza

Mbaga Jr soma nilichoandika tena uelewe
Hakuna nilipoegemea popote kwenye nilipoandika na nimetumia neno KAMA!

Hivi kwanini siku hizi nakutana na comments za mihemko

Naanza kuamini ni kweli watumiaji wengi wa JF wanaingia humu wakiwa wamelewa

Kimsingi prida mwenye uzi kaelewa nilichomaanisha na kanijibu vile nilivyokuwa nimemaanisha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…