Kaka zetu, hayo mabegi ni vipi kwani?

😂😂😂😂😂Sasa mkuu uapeche alolo na begi la Biowang vina uhusiano gani?
Apeche alolo ni kufulia, asa begi la laptop unalosuggest ni 50k na ushee ama nikigalaliza kwa mm mtaalamu wa kupata best price ni 40k... What do u expect!?... Lakini sisi waganga njaa hyo tunachukua kwa 15k kariakoo tena huku kichwani tunawaza kuficha umasikini.


Wakishua hawawezi relate, otherwise you are one tu
 
Sawa nimeelewa... kumbe issues ni price yake!sasa nimeelewa. Nilikuwa nafikiri yanauzwa 35 au 40,kumbe 15 unapata,ndio maana yamebebwa sana!
 
Nkikodolea macho pochi yako halafu nna sweat na nko kwenye daladala si utaniona kibaka!?.. mbaya zaidi kwenye dala za kwenda sinza kupitia tandale na nkashukia tandale pale mtaaani kwetu uzuri
Mhm hapo lazima nikumbatie pochi!Uzuri tena
 
Hata sisi mawigi yenu machafu tunawavumilia kuangalia haiwezekan mwezi mzima majina hayagusi kichwa

Makeup sana tunachukia basi pale kati ndo shida Ila kiukweli ni kama ushamba tu

Mtuache na mabeg yetu nyie bebeni kanga na vipi tenge
 
Mimi ninalo la ponasoo!
 
Akifungua pochi na kukupatia chochote wala hutaona ushamba wa bag lake
 

Hili ni povu la sabuni ya maji[emoji23][emoji23][emoji23]
 
uwa nikipita sehemu nanunua matunda naweka.
mizigo yangu.
Na kisu kipo kea ajili ya matunda.
Nalipenda begi langu maana uwa linawachanganya watu hawwjui nabeba nini.
Bibi uwa ananiambia "wewe isije hicho kibegi uwa unauza bangi.lete nifungue nione umebeba Nini'
Yaani kila siku anatamani ajue kwenye begi nabeba nini
We usije ukawa unaweka mabeto humo ya show show!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…