KakaKiiza 2010 February 16 Mpaka leo 2019 February 16!

Brother mbona tunavunjiana heshima ni lini nilikuvunjia heshima siyo wote tunajua utani kwani lazima ukomenti?sipita kimya kimya kama huna mawazo chanya mtu umjui unaleta ushabiki mandazi mfate rafiki yako Mtambuzi wazee wa maclient
Raynavero kaa mbali na huyu malaya. Usije sema sikukushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brother mbona tunavunjiana heshima ni lini nilikuvunjia heshima siyo wote tunajua utani kwani lazima ukomenti?sipita kimya kimya kama huna mawazo chanya mtu umjui unaleta ushabiki mandazi mfate rafiki yako Mtambuzi wazee wa maclient

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana naye huyo ana stless za uzee.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Jr[emoji769]
 
Subiri aje mzee kuzibua Mitalo Engineer soma hiyoooo Jiwe Linaloishi mtu wako katuelemea waite malegendary waje wamchukue

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi anaishia kuibaliki tu hiyo mitalo na kuzishikashika mbuye[emoji85] chatu limekuwa joka la kibisa.. Kwishney.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Nawaona ndege mnaofanana mnaruka pamoja wazee wa mitaloni kwa Man Madame B njoo uchukue client wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakin kaka kuna kipindi hata mie na wewe tulikuaga "Ndege tunaofanana", kipindi wagonga AK yule mwenye mwili wa kibantu aliekuaga akienda Zambia nami nagonga Shogake mwenye mwili wa kibantu nae kama wake

Leo tu unanikana na kunipachika kwa Babu Asprin
 
Lakin kaka kuna kipindi hata mie na wewe tulikuaga "Ndege tunaofanana", kipindi wagonga AK yule mwenye mwili wa kibantu aliekuaga akienda Zambia nami nagonga Shogake.

Leo tu unanikana na kunipachika kwa Babu Asprin
Ahaaa ila ukaacha mbegu we mbaya ila siku hizi wanapatikana Lachaz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaaa ila ukaacha mbegu we mbaya ila siku hizi wanapatikana Lachaz

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha,
Aisee KID katoka mbantu vile vile, mdogo lakini aelekea kule kule. Nilidhan ungemvutia Tabata yule Mbantu wako ukafanya replacement ya shem that time. Shogake aliniambiaga ulikua na mpango huo nikasema hewala tutachanga harusi tuje, masikin mbantu wa watu ukampiga chini, mtu mbaya sana wewe.
 
Weeeee Dunia isingenielewa ila mzee baba we noma ulikuwa ukipiga pure leather ulitisha matangazo yote ukasema askari ufia vitani[emoji38][emoji38][emoji38] salute napale nikaribu na TAMWA ila ukaziba masiko ukaskilizia nyuzi kumi gita la ndala kasheba na ukaacha alama ukumbusho tosha utakuwa ukimwangalia mtoto unacheka sana[emoji1][emoji1][emoji1]

Ha ha haaa😛😛😛
 
Back
Top Bottom