KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
- Thread starter
- #201
Brother mbona tunavunjiana heshima ni lini nilikuvunjia heshima siyo wote tunajua utani kwani lazima ukomenti?sipita kimya kimya kama huna mawazo chanya mtu umjui unaleta ushabiki mandazi mfate rafiki yako Mtambuzi wazee wa maclient
Sent using Jamii Forums mobile app
Raynavero kaa mbali na huyu malaya. Usije sema sikukushauri
Sent using Jamii Forums mobile app