Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

Asikate tamaa, atampata tu
Atapata kweli ila dunia ya sasa wanaume tumeshtuka. Dunia ya zamani (kabla ya sim na usafiri rahisi) binti akisha zaa anaweza kupata mume na wakaishi vizuri tu kwa sababu mawasiliano yalikua magumu.

Unaweza kukubaliana na mm, zamani mtoto akikua ndio anaanza kumtafuta baba yake kwa sababu ilikua mama aiolewa na mwanaume mwingine mawasiliano yanakata kabisa
 
Usingle mother ni ugonjwa mbaya sana kila mwanaume mwenye akili timamu hawezi kuoa single mother. Kuna binam yang walimuotea wakamzalisha asee na ni pisi kweli ila mpka leo hajapata wa kumuoa na umri unakimbia. Sometimes mpaka anamchukia mwanae anasema ndio kamletea nuksi maishani mwake
 

USIJIROGE KUOA SINGLE MOTHER, Unless umeoneshwa kaburi la baba wa mtoto na kuhakikisha kwa DNA kuwa mifupa/Mabaki ya mwili ni ya kwake.
 
ukimuoa mwanamke ambae kazalishwa na mwanaume mwengine tena baba wa mtoto yupo hai hata akikwambia anakupenda maneno yake hayawezi kuingia akilini.
Ni heri tuwe wawazi mapema tuwaambie hatutaweza kuwaoa kuliko kuwapotezea muda.

jamaa kafanya maamuzi ya kiume pasipo na mapenzi dawa ni kuwa muwazi ili kuheshimu muda wa mwenzako aende akatafute mwingine atakaeweza kuvulimilia hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…