Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Mara ya mwisho nilikutana nae stendi mwenge,ni kiongozi wa shughuli za kila siku pale, kuhusu kumtolea posa blue alikana,tena akiwa pamoja na blueYuko wapi sasa huyo kala pina? Picha yake je?
πππππMara ya mwisho nilikutana nae stendi mwenge,ni kiongozi wa shughuli za kila siku pale, kuhusu kumtolea posa blue alikana,tena akiwa pamoja na blue
Kuna tukio moja kikosi wanapafom,shabiki akanogewa akapanda jukwaani,alimrudisha chini kwa bonge la teke
Ata chid benzi,alitolewa jukwaani na bonge la ngumu na kalapinaMara ya mwisho nilikutana nae stendi mwenge,ni kiongozi wa shughuli za kila siku pale, kuhusu kumtolea posa blue alikana,tena akiwa pamoja na blue
Kuna tukio moja kikosi wanapafom,shabiki akanogewa akapanda jukwaani,alimrudisha chini kwa bonge la teke
ππ Na chidi alikua anajifanya mbabe,alimpiga j wa mitulinga na msanii gani sijui,kwa pina pale ngumi ndiyo nyumbaniAta chid benzi,alitolewa jukwaani na bonge la ngumu na kalapina
Hii ndiyo ilikuwa picha yake wakati akifanya hayo matukioYuko wapi sasa huyo kala pina? Picha yake je?
Nakumbuka zamani wakati Kiss FM ikiwa ya moto ilikuwa inawapa sana airtime hawa jamaa,kwao freestyle ililala pale walikuwa hawashikiki.Kikosi cha mizinga wote walikua wavuta bangi na kiongozi wa alikua Pina
Duuh kumbe mselaa hivyo? DaaahHii ndiyo ilikuwa picha yake wakati akifanya hayo matukio View attachment 3340405
Kwa sasa umri umesogea ameingia utu uzima kiasi.
Kwa freestyle hakuna artist aliyekuwa anafikia level za Ngwea"the Late himself", he was the surname of freestyle.Nakumbuka zamani wakati Kiss FM ikiwa ya moto ilikuwa inawapa sana airtime hawa jamaa,kwao freestyle ililala pale walikuwa hawashikiki.
Hayuko blok 41 siku hiziYupo wapi kwa Sasa mkuu,naye afinywe
Alikuwa anawaonea wasanii wanyonge tuMziki wa zamani ulijaa watemi
Ile video ya chid akifurumushwa na pina naikumbuka hadi leo, kuna maneno aliongea pina hadi leo sijui maana yake au sijui alitamka niniππ Na chidi alikua anajifanya mbabe,alimpiga j wa mitulinga na msanii gani sijui,kwa pina pale ngumi ndiyo nyumbani