Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
- Thread starter
- #21
Akina Imam AbbasKikosi cha mizinga wote walikua wavuta bangi na kiongozi wa alikua Pina
Akina Imam AbbasKikosi cha mizinga wote walikua wavuta bangi na kiongozi wa alikua Pina
Pina apikuwa mtata sana!! Hit song yake ni moja tuMimi nilikuwa sio fan wa Pina, pale Kikosi kulikuwa jamaa wanaflow poa lakini kwenye show yeye ndio anajiweka mwisho anavua shati anaanza kupiga makelele
ngwea ananyota ya kupendwa tu ila hanaloloteKwa freestyle hakuna artist aliyekuwa anafikia level za Ngwea"the Late himself", he was the surname of freestyle.
Mwana fa alikiri wazi Ngwea ni hatari
Fid q alifutishwa verse mara kadhaa kwenye ngoma ya CNN. The man was ahead of time!
'ni kweli siabudu sanamu,kwani uwongo jamani-pina'Pina apikuwa mtata sana!! Hit song yake ni moja tu
Ngwea alikua anajua wewengwea ananyota ya kupendwa tu ila hanalolote
GWALUMimi nilikuwa sio fan wa Pina, pale Kikosi kulikuwa jamaa wanaflow poa lakini kwenye show yeye ndio anajiweka mwisho anavua shati anaanza kupiga makelele
Nadhani mwili nyumba kono gogo ndiyo kilikuwa kinawatisha wasanii.Alikuwa anawaonea wasanii wanyonge tu
Ova
Mara ya mwisho nilikutana nae stendi mwenge,ni kiongozi wa shughuli za kila siku pale, kuhusu kumtolea posa blue alikana,tena akiwa pamoja na blue
Kuna tukio moja kikosi wanapafom,shabiki akanogewa akapanda jukwaani,alimrudisha chini kwa bonge la teke
Siki hizi ni Mkurugenzi wa NGO aliyoianzisha na wenzake yake inayojihusisha na kusaidia watu walio kwenye matumizi ya Madawa ya kulevya kuachana na madawa hayo.Ukizungumzia msanii wa Hip Hop waliokuwa wana matukio ya kushangaza na ukorofi basi huwezi kumuacha Kala Pina mzee wa Kikosi cha Mizinga kutokea pale Kinondoni Block 41.
Pina aliwahi kutishia kumtolea posa msanii mwenzake aitwaye Voice Wonder kisa tu anadai alikuwa anabana sauti wakati wa kuimba.
Msiomjua Voice Wonder tafuteni wimbo wake unaitwa “Nimpende nani?”
Kala Pina pia alitaka kumtolea posa Mr Blue kwa kubana sauti wakati wa kuongea na kung’ata lips alipokuwa anaongea/kuhojiwa. Pina hakuwa anafurahishwa pia na style ya Mr Blur kupaka rangi kwenye nywele.
Kala Pina aliwahi kugombana na machalii wa Chugga, baada ya kumpiga na chuma kwenye mdomo msanii wa kundi la Nako2 Nako aliyefahamika kama Bou Nako. Jamaa ilibidi afanyiwe operesheni kubwa ya kurekebisha meno yake.
Kala Pina kwenye 1&2 aliwahi kumteka Salama Jabir kwasababu ya Salama kupenda kumnanga jamaa kuwa huwa anatoa video mbaya.
Leo nimejikuta nimenkumbuka Mzee wangu Kala Pina na kundi lake la Kikosi cha Mizinga pale maskani kwao Block 41.
Kama uhuni ulifanywa sana zamani, BASATA hawakuwa na meno kama ilivyosasa!!
.Hii ndiyo ilikuwa picha yake wakati akifanya hayo matukio View attachment 3340405
Kwa sasa umri umesogea ameingia utu uzima kiasi.
Achana nae huyo anataka ligiNgwea alikua anajua wewe
Usi sahau ali kuwa rafiki wa miraji mtoto wa jk.Nilicheka sana 2015 alipo chukua fomu kugombea kiti cha udiwani kata ya Kinondoni kupitia ACT Wazalendo...🤣
Muwoga sana...Nadhani mwili nyumba kono gogo ndiyo kilikuwa kinawatisha wasanii.
Dudu Baya na ubabe wake kwa jamaa alikuwa anakula konaAlikuwa anawaonea wasanii wanyonge tu
Ova
Baba yake alikuwa na cheo huko jeshini.Huyu jamaa nasikia anatokea Familia Bora huyu sijui ni kweli?
Kuhusu kumteka Salama ni uongo.Ukizungumzia msanii wa Hip Hop waliokuwa wana matukio ya kushangaza na ukorofi basi huwezi kumuacha Kala Pina mzee wa Kikosi cha Mizinga kutokea pale Kinondoni Block 41.